Ama kweli huu ni mwezi mtukufu.Miji imekuwa majiji

Ama kweli huu ni mwezi mtukufu.Miji imekuwa majiji

2:97 - Sema: Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo ndiye aliye iteremsha Qur'ani moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa Waumini.
Kuna tofauti mkuu

Au kuna pepo ya waislama na pepo ya wakristo?
 
Kwa hiyo hii inakubaliana na maneno ya Mtume Muhammad(S.A.W),kuwa mwezi huu mashetani wa kijini,wamefungwa minyororo,waliobakia ni mashetani wa kibinadamum
Maneno ya mtume yapo sahihi angalia leo wauza kitimoto wanavyopata tabu kukosa soko kwasababu majini wanaokula wamefungwa
 
Kwa hiyo hii inakubaliana na maneno ya Mtume Muhammad(S.A.W),kuwa mwezi huu mashetani wa kijini,wamefungwa minyororo,waliobakia ni mashetani wa kibinadamum
Mashetani ya kibinadamu yanakula mbaya kama viwavijeshi 😂
 
Back
Top Bottom