2:97 - Sema: Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo ndiye aliye iteremsha Qur'ani moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa Waumini.
Kwa hiyo hii inakubaliana na maneno ya Mtume Muhammad(S.A.W),kuwa mwezi huu mashetani wa kijini,wamefungwa minyororo,waliobakia ni mashetani wa kibinadamum
Kwa hiyo hii inakubaliana na maneno ya Mtume Muhammad(S.A.W),kuwa mwezi huu mashetani wa kijini,wamefungwa minyororo,waliobakia ni mashetani wa kibinadamum