Ama kweli kusikia kwa kenge mpk atoke damu puani!.

Kuna ya juzijuzi mwizi huko sokoni sijui kaiba alivotaitiwa na kundi la watu akaona hapa nafa,akavua nguo zote na kubaki uchi,akachuchumaa na kushusha mzigo huku anakinga mkononi akaanza kujipaka mwingine anawarushia watu waliomzunguka..Kila mtu alisogea mbali mbonaa..akawaambia Sasa atakaenipiga ninae..badala ya mwizi kukimbizwa waliomkamata wakawa wanakimbizwa mbio
 
Kuna mpuuzi mmoja alileta huo ujinga Mahakamani.Watu wakamwambia nini kujipaka mavi ?! Ngoja tukupeleke kwa wanaoyala kabisa.Mbona akili zilimrudi .
 
mi nafikiri jamii ilete mwano wa ugoni ili msituchanganye mtakuja kutuua bure watu wengine wanatembea na vitu vizito kichwani mwao!.
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ daah! qummk ujumbe mzuri ila umeuwasilisha ki kikenge sana
 
watu hazimo..๐Ÿ˜‚
 
Ule uzi ulikuwa humu nishautafuta mpaka nimechoka.Ilikuwa patashika mpaka umeme unarudi walevi na wahudumu wote wako hoi.Jamaa alikuwa anadandia tu meza za watu kama nyani.
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Na hili suala la mgoni kuitiw mwizi inabidi serikali iingilie mtakuj kutuua jaman๐Ÿ˜ก๐Ÿ˜ก
 
Umenusurika kutolewa malinda na mashetani ,chunga sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ