Ama kweli mpira wa miguu (kandanda) upo Brazil

Ama kweli mpira wa miguu (kandanda) upo Brazil

Hata aliyewafunga ni wa hukohuko Brazil,ila yupo Liverpool kikazi

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah kwa mechi ile ya jana ya FIFA CLUB WORLD CUP 2019, imeonesha kuwa brazil (america ya kusini) ndiyo kitovu , cha mpira wa kandanda aseee , dah jana nilicheki mpaka mwisho nkajisemea , ULAYA MPIRA WAO NI WA PESA TU , KWENDA KUCHUMA HELA .
Halafu haohao brazil wakatia aibu kwa mjeremani
 
Back
Top Bottom