Ama kweli nabii hakubaliki kwao! Tazama Rayvan na Harmonize walivyopokelewa Burundi

Tena wengi wao ni watoto, waliacha kucheza mpira uwanjani kwenda kumwangalia Ray na Harmonise.
Tuwekee picha au video ya msanii mwengine ambaye watoto waliacha kucheza mpira na kwenda kumuangalia yeye ............Maana hadi watoto wamejua uwepo wao basi wanajulikana sana tena sana.
 
Hivi hao wanamuziki wana nyimbo ngapingapi?
 
Hivi hao wanamuziki wana nyimbo ngapingapi?
Harmonize anayo 1,Rayvann anayo 1 na Rich anazo 2 vipi,unaona majumba na magari na pesa walizonazo hazilingani ????
 
Nikawaida sana, kwani hata wasanii wa nje wakija bongo wengine wanaunguza mboga jikoni kisa kwenda kumuona msanii fulani nakumshangilia
 
kama bobjunior alvkuja mbeya tuu [emoji27]
 
Kwa hapa tulipofikia; tunaweza kuwapumzisha Chibu na Ali Kiba na bado Watanzania wakaendelea kusumbua na kuwa top kwenye ukanda huu! Bado naililia Bongo Movie... sijui lini ita-take over.
Waache kuigiza badala yake wavae uhalisia.
 
[emoji121]
MKUU UNGEWEKA PICHA TAFADHALI!
 
Hata hapa wanakubalika sema hili swala la teams ndio linatia chokochoko
 


Mavi matupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…