samsun
JF-Expert Member
- Feb 9, 2014
- 7,386
- 5,965
Tuwekee picha au video ya msanii mwengine ambaye watoto waliacha kucheza mpira na kwenda kumuangalia yeye ............Maana hadi watoto wamejua uwepo wao basi wanajulikana sana tena sana.Tena wengi wao ni watoto, waliacha kucheza mpira uwanjani kwenda kumwangalia Ray na Harmonise.