Ama kweli nabii hakubaliki kwao! Tazama Rayvan na Harmonize walivyopokelewa Burundi

Ama kweli nabii hakubaliki kwao! Tazama Rayvan na Harmonize walivyopokelewa Burundi

Hahahaha hance sasa hapo umeanza kutupotosha wenzio sasa hao watoto si wa kitaaa tuu hata huku kwetu wamejaa we pita tu kitaa flan cha kiswaz na kitu cha kushamgaza utaona watakao jaa ni kina nani ka sio watoto na wanawake wasio na lazi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Aisee ama kweli nabii hakubaliki kwao,daah waliotunga huu msemo walikuwa ma generous sana kwa kweli

Licha Rayvan na Raj boy Harmonize kuonekana sio lulu kwa kiasi hicho hapa nchini lakini Burundi huwaambii kitu kuhusu hawa madogo maana walivyopokelewa utadhani ulikuwa msafara wa Barack Obama ,sasa hapo wameenda watoto je angeenda baba la baba Chibu dee Diamond platinums ingekuaje????

View attachment 406273

View attachment 406274
Hivi we jamaa unaujua msafara wa Barack Obama? Acheni kufananisha magimbi na keki ya harusi!
 
Hata anti Ezekiel alipokelewa na umati huo huo. Huko Burundi tangu wajue Kiswahili star yoyote wa bongo wanpokea hvy hvy just rudi nyuma kwa blue,Mr nice, kalori etc
 
Kwa hapa tulipofikia; tunaweza kuwapumzisha Chibu na Ali Kiba na bado Watanzania wakaendelea kusumbua na kuwa top kwenye ukanda huu! Bado naililia Bongo Movie... sijui lini ita-take over.
Nasikia Bongo Muvi Wanataka Kumkodi Diamond
 
Sawa....!! Je Kweli hawakubaliki au maneno ya kichonganishi...???
 
Kwa hapa tulipofikia; tunaweza kuwapumzisha Chibu na Ali Kiba na bado Watanzania wakaendelea kusumbua na kuwa top kwenye ukanda huu! Bado naililia Bongo Movie... sijui lini ita-take over.
We miss you Kanumba
 
Kwa hapa tulipofikia; tunaweza kuwapumzisha Chibu na Ali Kiba na bado Watanzania wakaendelea kusumbua na kuwa top kwenye ukanda huu! Bado naililia Bongo Movie... sijui lini ita-take over.
Lkn bro si mliiua makusudi ili bongo fleva ije juu na nnaona mnaivutia kasi Singeli nayo muimalize kama mlivyofanikiwa kwa mduara ule wa akina solo thang unaukumbuka lkn ulivyokua juu nao mkautengua kiuno? Ila Kama watasikia hao wasanii wasi side na Clouds waende Efm ambao wapo Real kwa Singeli
 
Lkn bro si mliiua makusudi ili bongo fleva ije juu na nnaona mnaivutia kasi Singeli nayo muimalize kama mlivyofanikiwa kwa mduara ule wa akina solo thang unaukumbuka lkn ulivyokua juu nao mkautengua kiuno? Ila Kama watasikia hao wasanii wasi side na Clouds waende Efm a8mbao wapo Real kwa Singeli
Shark bhana, unakua kama umeanza kufuatilia burudani juzi!! "Tuliiua" makusudi Bongo Movie, au?! Kama mduara "tumeuua" sisi; nani kaiua Taarabu, Chakacha, Culture n.k?! Nani kaiua Bolingo na Jazz Africa? Nani kaiua ragga maffin duniani?! Nani kaiua reggae na blues?! Hizo nazo "tumeziua sisi", au?!
 
Hata anti Ezekiel alipokelewa na umati huo huo. Huko Burundi tangu wajue Kiswahili star yoyote wa bongo wanpokea hvy hvy just rudi nyuma kwa blue,Mr nice, kalori etc
Acha uongo wewe,weka video au picha tuone kinyume na hivo wewe ni mzushi.
 
Back
Top Bottom