Ama kweli nabii hakubaliki kwao! Tazama Rayvan na Harmonize walivyopokelewa Burundi

Ama kweli nabii hakubaliki kwao! Tazama Rayvan na Harmonize walivyopokelewa Burundi

yea
Aisee ama kweli nabii hakubaliki kwao,daah waliotunga huu msemo walikuwa ma generous sana kwa kweli


Licha Rayvan na Raj boy Harmonize kuonekana sio lulu kwa kiasi hicho hapa nchini lakini Burundi huwaambii kitu kuhusu hawa madogo maana walivyopokelewa utadhani ulikuwa msafara wa Barack Obama ,sasa hapo wameenda watoto je angeenda baba la baba Chibu dee Diamond platinums ingekuaje????




View attachment 406273







View attachment 406274
hawa madogo ni mafundi wakali sana wa kuimba.. DOGO KIBA amewaomba kollabo angalau apate KIKI
 
PIGENI KELELE TU,MNA RUHUSIWA. LAKINI WAO MUDA HUO HAWANA WANATENGENEZA PESA TU,HALAFU MNAPOSIKIA MIJENGO YA WATU MNADAI HATI KAMA WAMEWANUNULIA NYINYI.

 
NYUMBA ZAO,LAKINI HATI MNATAKA NYINYI,KWANI VIPIMO VYA DNA MLISHAPEWA .............AU HII SWAGA HAINA KIKI TENA .......??
 
Back
Top Bottom