Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si wanasema ukarabati unaendeleaZa mkapa hazipo saiv
Kwa vile kodi za watanganyikaWewe mtanganyika hiyo Amaan stadium inakuhusu nini.
Tanganyika italipa tena....Kumekuwa na hali ya kuupamba sana huu uwanja uliofanyiwa ukarabati wa Amaan Stadium hapa Zanzibar, kwakweli bila kupepesa macho wameshindwa kwenda na mabadiliko na maendeleo ya sasa katika sekta ya michezo Duniani.
1. Eneo la kuchezea (pitch) haliendani kabisa na zile mbwembwe tulizoziona, quality ni ndogo kwakweli.
2. Taa bado ni tatizo,nikajua zitakuwa kama zile zilizofungwa MKAPA STADIUM angalau zikaribie basi,..yaani taa kama za KAITABA unaona vivuli vinne vinne.
SMZ kwa hapa mmechemka ,kama kuna upigaji chukueni hatua ila kama ndio halali yake vile basi JIPANGENI TENA.
View attachment 2857395