Amaan Stadium ni mbovu, kama kuna upigaji watu wawajibishwe

kuna mtu aliwahi kuniambia mwinyi ni moja ya mafisadi wakubwa nchini, anyway yeye na kayemba wake wameshika nchi kwa sasa
 
Kuna kitu kinatengenezwa pale Kigali kwa jina la Amahoro stadium, aisee ni kama Emirates vile!!

Kuna la kujifunza kwa majirani.
 
kuna ule uwanja wa tff wa karume unatia kinyaa nikajiuliza hawa ndio kwa kushirikiana na viongozi wa bodi ya ligi wanafungia viwanja vibovu?
 
Tanganyika italipa tena....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…