Wimbo wake wa kwanza wa amadai kabla hajaanza mahusiano na shilole(shishi baby) ulikua ni omario ambao alizungumzia jinsi ambavyo analelewa na mwanamke.
Na katika nyimbo aliomba mwanamke huyo(anaemlea)asije tangaza kuwa anamlea na magari na nyumba vyote sio vyake maana wasije mwita omario ,lakini huu ulikuwa ni utabiri wa maisha yake ya sasa ambayo anaishi kwa kulelewa na shilole