Amadai wa shilole na utabiri wa omario

Amadai wa shilole na utabiri wa omario

jerrysonkiria

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2014
Posts
2,228
Reaction score
2,901
Wimbo wake wa kwanza wa amadai kabla hajaanza mahusiano na shilole(shishi baby) ulikua ni omario ambao alizungumzia jinsi ambavyo analelewa na mwanamke.

Na katika nyimbo aliomba mwanamke huyo(anaemlea)asije tangaza kuwa anamlea na magari na nyumba vyote sio vyake maana wasije mwita omario ,lakini huu ulikuwa ni utabiri wa maisha yake ya sasa ambayo anaishi kwa kulelewa na shilole
 

Attachments

  • Shilole-na-msanii-wake-mpya-aitwae-Amaselly.jpg
    Shilole-na-msanii-wake-mpya-aitwae-Amaselly.jpg
    28.5 KB · Views: 129
Ndo nani huyo tuwekee na picha mana hatumfahamu
 
Kumbe kale kajamaa ni kamwanamziki
Aisee inabidi tutoe nishani kwa shishi baby kwa kukuza vipaji
 
Mbona haujaweka picha ya amadai na umeweka ya shilole na mwanamuziki wake gaucho?
 
Omario ni msanii mkubwa sana ninae mueshimia. Bt nadhani ulikuwa una maanisha marioo
 
Shilole aache uoga wa dyudyu za wakubwa wenzake kila siku kuvibemenda vitoto vidogo
 
Back
Top Bottom