AmAiZiNG MaThEMaTiCs::

AmAiZiNG MaThEMaTiCs::

Kila kitu hapa duniani ni mathematics!yaani hadi ulimi wako umejaa mathematics,nguo unayovaa ni mathematics,mchanga na ardhi nzima ni mathematics,maji unayokunywa na kuoga ni mathematics,unavyolala kitandani au kukaa kitini ni mathematics,sauti yako ni mathematics,..dunia yote ni mathematics!

Ah ha ha #juve2013 nineipenda hiyo. vipi kuhusu mbinguni nako ni mathematics?????
 
ATTITUDE=MTAZAMO. Hebu kama hesabu ina inacho offer hilo neno kwa lugha nyingine kama mfano niliotoa tuone kama utapata hiyo 100%. Ungetafuta kichwa kingine tu cha thread yako kuliko kuihusisha hesabu wakati hakuna uhusiano.
 
Ah ha ha #juve2013 nineipenda hiyo. vipi kuhusu mbinguni nako ni mathematics?????

well,i think i have a very weird answer to this question.Tumtazame huyo anayekaa mbinguni,anayesemwa kuwa muumbaji wa kila kitu ili tuone kama kuna traces zozote kwenye matendo yake zinazoweza kutujibu.Biblia inadai Mungu kaacha traces zake kwenye kile alichoumba,Warumi 1:19,20 inasema "For what can be known about God is plain to them,because God has shown it to them.For his invisible attributes,namely,his eternal power and divine nature,have been clearly perceived,ever since the creation of the world,in the things that have been made.So they are without excuse"...haya tumeshaambiwa hapo "no excuse please",so let us see what science can offer.Kuna kitu toka kwa Einstein kinaitwa E=MC(weka square hapo kwenye C kumaanisha C x C.natumia "mchina" kaka).Hiyo ni equation inayoelezea uhusiano wa energy na matter ambapo E ni energy,M ni mass ya mada husika na C ni constant ambayo ni speed of light.Kwa ufupi maana ya equation hii ni kwamba Energy na matter(mada) ni two states of the same thing,meaning that they are interchangeable.Einstein aligundua kuwa kila kitu kwenye dunia hii ni energy at it's foundation,na ndivyo ilivyo.What is the source of this energy?Katika miaka ya hivi karibuni wanasayansi wamegundua kuwa universe inatanuka.Hivyo wamegundua uwepo wa nguvu nyingine responsible kwa kutanuka huko(repulsive force) ambayo wanaita dark energy.Katika research zao wamegundua kuwepo uwiano katika prediction zao za kimahesabu kati ya dark energy na formation ya vitu vilivyoko katika eneo wanalopima.Pia Wamegundua hiyo dark energy ni almost 68 % ya universe yote.Maana yake kwa muktadha wa kanuni ya Einstein,hiyo dark energy ina uhusiano mkubwa na existence ya universe kama matter.Now what is it?Katika scientific research nyingine,wanasayansi kupitia kanuni ile ile ya Einstein wamegundua kuwa kila kitu duniani ni energy at it's foundation.Ukichukua atom ukaivunjavunja unakutana na electrons et.c na hizo nazo ukivunja unakutana na particles kama neutrinos e.t.c sasa ukiendelea zaidi ya hapo unakutana na jambo la ajabu kwamba at that stage kuna packets ya vitu vidogo wanaita quarts ambavyo vina-exist kama energy waves na kama matter depending on the influence of vibrational force upon them.Hakuna ajuaye ni kwa hesabu zipi hizo vibrations zinafanya quarts kuwa energy waves au wakati mwingine matter.Kwa maana nyingine kama tungepewa macho ya kutazama vitu vidogo hivyo,tungeona vikitokea na kupotea continuously kama digital waves au indicator ya gari.Kwa hiyo ni kusema kwamba,katika foundation stage ya maumbile ya mada,kuna vibrations.We all vibrate together with our universe.Vibration hizo zinajipanga kihisabati na kujenga mpangilio fulani wa waves ili kuipa mada aina yake(iwe jiwe,mbao,mtu,maji,hewa n.k.Nini kinasababisha vibrations hizo?Hivi karibuni pia wanasayansi wamegundua kuwa universe nzima imejaa traces za sound waves ambazo zinasemekana kutokea wakati wa mlipuko dunia ilipoumbwa(big bang).Kuna chombo walikirusha mwaka 1998 chenye uwezo wa kusoma aina fulani ya electromagnetic waves zilizopo duniani ambazo ni very ancient zinazosemekana kutokea kwenye big bang.Ingawa ni miaka mingi imepita tangu kuumbwa universe,chombo hicho kina uwezo wa kusoma waves zilizofifia kutoka katika dunia.Chombo hicho pamoja na research nyingine vinaeleza jambo moja,kwamba kuna sound waves zinazosababisha hizi vibrations ambazo zinazalisha energy inayosimama kama building block au msingi wa kila kitu kilichoumbwa duniani.Ni kama kusema kuwa vitu vyote duniani ni "muziki" uliogeuzwa kuwa mada(matter).Ndio maana kila kitu kina reasonant frequency ambayo ikifikiwa kinaanza kuvibrate.Si wajinga hawa wanaotengeneza matangazo au movies wakionyesha mtu anaimba hadi akifikia pitch fulani glass zinavunjika!Hata wanajeshi huwa wanabreak step wanapovuka madaraja ili kukwepa hatari ya kufikia reasonant frequency ya daraja na kulivunja.Pia kuna njia ya kuyeyusha mawe kwenye figo kwa kutumia sound.All this proves that materials zote zina vibrations ndani yake.kuna traces za sound waves everywhere around the world and universe.Dunia yenyewe ina vibrational frequency(Schumann resonance).Sound is vibration in nature.Quartz crystals zinatumika kwenye saa kutokana na uwezo wake wa kuvibrate na kuzalisha oscillations zinazoendesha circuit ya saa.Kule kwenye jua kuna solar storms ambazo ni electromagnetic waves.Mawazo na hisia za binadamu zina frequency zinazoleta athari kwa mazingira na sie wenyewe.Ndio maana kuna sauti mtu akiongea unajua kakasirika,kafurahi,ana majonzi..n.k na kwa wale wenye saikolojia hata mtu akipretend kuongea kwa huzuni ilhali hana huzuni unamjua kwa kutumia hiyo hiyo sauti.Sasa hebu unganisha ile dark energy,quarts,vibration na sound,unapata picha gani unaposoma mafungu hayo hapo chini kwenye post inayofuatia?
 
John 1:1-4,"In the beginning was the Word,and the Word was with God,and the Word was God.He was with God in the beginning.Through him all things were made.without him nothing was made that has been made."(Word-Sound?).Fungu jingine,Colossians 1:15-17,"He is the image of the invisible God,the firstborn over all creation.For by him all things were created,things in heaven and on earth,visible and invisible...he is before all things,and in him all things "HOLD" together(dark energy?).Fungu jingine,Waebrania 1:3,"The son is the radiance of God's glory and the exact representation of his being,"SUSTAINING ALL THINGS" by his powerful word"(word=sound=vibration=energy=particles=matter?)fungu jingine,Mwanzo 1:1-3,"In the beginning God created the heavens and the earth.Now the earth was formless and empy.darkness was over the surface of the deep,and the spirit of God was hovering over the waters.And "GOD SAID"let there be light(big bang?),and there was light..AND GOD SAID..AND GOD SAID..AND GOD SAID....."(GOD SAID=SOUND?).Mwisho nina haka kapassage toka kwa the Slavonic Enoch 25:1-6.hii ni additional tu,kwa wale wasiojua kitabu hiki,ni mojawapo ya pseudopigrapha books,vitabu vinavyosemekana kuwa sehemu ya mafundisho ya Mungu huko nyuma lakini Warumi kwa sababu wanazojua wao waliviondoa(not canonized).Fungu linamquote Mwenyezi Mungu akisema,"I commanded in the very lowest,that visible things should come down from invisible,and Adoil came down very great,and I beheld him,and lo!He had a belly of great light.And I said to him,'disintegrate yourself,Adoil,and let what is born from you become visible.'and he disintegrated himself,and there came out a very great light(big bang?)..AND I WAS IN THE MIDST OF THE LIGHT.And the light out of light is carried thus.And the great age came out,and it revealed all creation which I had thought up to create.And I saw how good it was.And I placed for myself a throne,and I sat down on it.And then to the light I spoke,"You go up higher(than the throne) and solidified(much higher than the throne) and become the foundation of the higher things.And above the light there is nothing else,and then I bent up and looked up from my throne".Unganisha hii na fungu la biblia la Zaburi 104:2,"The LORD wraps himself in light as with a garment,he stretches out the heavens like tent.(stretches out-universe expansion?if so,where is the "dark energy" coming from,got the answer?).Ukiyachunguza maandiko haya na mengine mengi yanayofanana na haya,utagundua yanaongelea vitu vitatu,Mungu anaclaim authority juu ya uumbaji through a certain deity ambaye ni reincarnate wake,na pia huyu reincarnate ndiye center ya uumbaji na nguvu inayoshikilia universe yote.Kwenye quantum physics tunaambiwa kwamba kuna uhusiano mkubwa kati ya energy ya vitu vilivyoijaza dunia na energy inayoshikilia dunia(iliyoumba)ambapo mada zote zilizomo katika universe ni manifestation ya "one great energy iliyodisintegrate na kugeuka kuwa mada au universe na maumbile yake yote na kuna special relativity kati ya energy hiyo na mada hizi na ndio maana wako bize wakichunguza dark energy ili wajue ni kitu gani kwa mapana yake pamoja na ile nature ya vibration iliyoko kwenye kila kitu.Sasa kama sayansi na biblia vinazungumza kwa ulinganifu mkubwa hivi,what picture do you get?sasa tukiendelea kufafanua kwa undani hayo mambo ya science tutaanza kushuka equations hapa hadi server za jf zishike moto(heat energy),hii manake ni kwamba kama sayansi inamanifest aliyeumba,then GOD is the sole founder of mathematics na all his works is full of mathematics,heaven inclusive!
 
Juve2012 nakufwatilita sana post zako na kiukwel unanrudisha sana kundin... Mungu wa Abraham, Mungu wa Jacob na akubariki
 
Juve2012 nakufwatilita sana post zako na kiukwel unanrudisha sana kundin... Mungu wa Abraham, Mungu wa Jacob na akubariki

amina mkuu,ubarikiwe nawe pia nakutakia mafanikio mema katika safari yako ya kurudi kundini na Mwenyezi Mungu akuongoze mkuu.Kuna watu huwa wanaongea mambo sijui huwa wanaelewa uzito wa maneno yao?kuna hawa waimbaji wanaitwa Oslo Gospel choir,wana wimbo mmoja unaitwa "breathe" wanaimba hivi,"This is the air i breathe,your holy presence,living in me,this is my daily bread,your holy Word,spoken to me..and i'm desperate for you..and i'm lost without you.."laiti tungekuwa tunaelewa uzito wa tunachokiongea!anyway,ubarikiwe sana mkuu,ngoja tuwaachie wenzetu waendelee na mjadala wao wa "hisabati" bwana ila nadhani sasa tukitamka neno "mathematics" tutakuwa na mtazamo mpana zaidi ya ule wa kupata mia kwa mia kwenye mtihani wa darasani!
 
Sielewi ni vipi sayansi inatumika kukana uwepo wa Mungu wakati wengine tukizidi kwenda deep na sayansi tunaona uwepo wa Mungu hadi tunaogopa.Ila kama kuna kitu kitanifanya nimkumbuke sana Kikwete ni ule usemi..AKILI ZA KUPEWA..
 
Sielewi ni vipi sayansi inatumika kukana uwepo wa Mungu wakati wengine tukizidi kwenda deep na sayansi tunaona uwepo wa Mungu hadi tunaogopa.Ila kama kuna kitu kitanifanya nimkumbuke sana Kikwete ni ule usemi..AKILI ZA KUPEWA..

now there you are cc Free ideas
 
Last edited by a moderator:
Sielewi ni vipi sayansi inatumika kukana uwepo wa Mungu wakati wengine tukizidi kwenda deep na sayansi tunaona uwepo wa Mungu hadi tunaogopa.Ila kama kuna kitu kitanifanya nimkumbuke sana Kikwete ni ule usemi..AKILI ZA KUPEWA..

cc Kiranga
 
Last edited by a moderator:
Sielewi ni vipi sayansi inatumika kukana uwepo wa Mungu wakati wengine tukizidi kwenda deep na sayansi tunaona uwepo wa Mungu hadi tunaogopa.Ila kama kuna kitu kitanifanya nimkumbuke sana Kikwete ni ule usemi..AKILI ZA KUPEWA..

Sayansi ni nini?
 
BIBLE is the key to enternal life whether the world denies it or not .huwa napenda kusema kitu popote nilipo kuwa baba wasamehe hawajui walitendalo
 
Nilitumia Backhouse kwenye Pure Mathemaitcs na Additional Mathematics miaka ya sabini kabla hatujaanza kutumia Entebbe Mathemathics ambayo nayo baadaye ilibadilihswa na Kinunda kuwa Advanced Mathematics. Sikujua kuwa bado Backhouse kipo kwenye circulation; vipi, je kitabu cha M. Nelkon cha Advanced Physics pia bado kipo kwenye circulation?

Mbali na Backhouse...nilitumia kitabu cha hesabu tulikiita "Tranter"...sijui kama bado kipo......
 
Mbali na Backhouse...nilitumia kitabu cha hesabu tulikiita "Tranter"...sijui kama bado kipo......
Shule yetu ilikuwa na nakala chache sana za kitabu hicho cha Tranter , baadhi zikawa reference Library, na nyingine kwenye circulation ya Library- sijui kama shuloe zetu leo zina hata hiyo Library. Idarani hazikuwapo ingawa walimu wote wa math walikuwa na nakala zake. Kilikuwa kitabu kizuri sana ila sijui kwa nini shule yetu haikuwa nacho. Nilipoanza kufundisha vyuo vya marekani nikakuta kuwa yale mahesabu tuliyokuwa tunasoma "A" level ndiyo wanayohangaika nayo hapa mwaka wa kwanza na pili vyuo vikuu. Sijaelewa kama sisi tulikuwa overloaded, au wamarekani wanakuwa underloaded. Binafsi ninashukuru kuwa nilifundishwa mambo hayo ya msingi wakati ubongo ungali unakua kiasi kuwa yalinata sana kichwani kama vile nimefundishwa jana tu.
 
Shule yetu ilikuwa na nakala chache sana za kitabu hicho cha Tranter , baadhi zikawa reference Library, na nyingine kwenye circulation ya Library- sijui kama shuloe zetu leo zina hata hiyo Library. Idarani hazikuwapo ingawa walimu wote wa math walikuwa na nakala zake. Kilikuwa kitabu kizuri sana ila sijui kwa nini shule yetu haikuwa nacho. Nilipoanza kufundisha vyuo vya marekani nikakuta kuwa yale mahesabu tuliyokuwa tunasoma "A" level ndiyo wanayohangaika nayo hapa mwaka wa kwanza na pili vyuo vikuu. Sijaelewa kama sisi tulikuwa overloaded, au wamarekani wanakuwa underloaded. Binafsi ninashukuru kuwa nilifundishwa mambo hayo ya msingi wakati ubongo ungali unakua kiasi kuwa yalinata sana kichwani kama vile nimefundishwa jana tu.

Kipindi hicho Prof wangu wa Hesabu aliniambia.......uki-solve majority ya questions kwenye kitabu hiki...utakuwa umejiandaa vyema kabisa kwenye mitihani.......kwa kweli kama ilivyo kwako....mpaka leo hii huku ughaibuni yale material tuliyofundishwa kipindi kile yamenisaidia sana sana......lakini kama ulivyosema...inawezekana huku "wanakuwa underloaded" with exception kwa wale wanaoamua ku-specialize kwenye mchepuo wa hesabu.....
 
Kipindi hicho Prof wangu wa Hesabu aliniambia.......uki-solve majority ya questions kwenye kitabu hiki...utakuwa umejiandaa vyema kabisa kwenye mitihani.......kwa kweli kama ilivyo kwako....mpaka leo hii huku ughaibuni yale material tuliyofundishwa kipindi kile yamenisaidia sana sana......lakini kama ulivyosema...inawezekana huku "wanakuwa underloaded" with exception kwa wale wanaoamua ku-specialize kwenye mchepuo wa hesabu.....

Wanakua underloaded na ndiko kunakozalishwa wasomi effective.Labda ni wakati sasa wa kutazama nini kinakosekana katika mfumo wetu wa elimu.We are very good at solving equations but practical applications?na hasa suala la kuitumia elimu kuleta mambo mapya na ya maana kwa jamii husika ndio tatizo lilipo.Elimu yetu imekuwa kama fashion fulani isiyobadilika wala kuisha value wakati kiuhalisia mambo hayako hivyo.Katika level ya secondary practical ni very poor,na walimu wa kutengeneza wasomi wazuri kivitendo ni tatizo.Halafu pia ipo haja ya kuufanya mfumo utuzalishie wasomi wenye maadili ya kazi na maadili ya kijamii.Sidhani kama kwenda kumrusha kichura na kwata form six kule JKT ni njia sahihi ya kurudisha maadili ukizingatia kijana huyo anakuwa keshapitia maisha yasiyofuatiliwa kwa miaka si chini ya 14.Suala la maadili linapaswa kupewa intellectual approach.Hii elimu ya leo ndio hata sitaki kuizungumzia manake inatisha,sijui huko mbele tutakuwa na taifa la namna gani.Even academically sijui kama tuendako hawa watoto wetu wataweza kumaliza yale maswali 2000 ya worked examples! Hivi hawa wataweza kwenda na nondo za akina Nelkon,Abbot,Lambert,Ngugi wa Thiong'o,Vines and Rees,Cambridge,Oxford?kizazi hiki cha mbeleko za kushushiwa marks?nakumbuka wakati nikiwa chuo fulani kulianzishwa utaratibu wa kuwapunguzia marks za ufaulu akina dada ili wapite.Kulikuwa na akina dada wachache sana pale chuoni kutokana na course zenyewe ila walikuwa vichwa kweli kweli.Waliandika barua kwa mkuu wa chuo wakipinga kupunguziwa kiwango cha ufaulu kwa vile ni jambo litakalowaua perfomance yao na wataburuzwa na wavulana.Ule utaratibu uliondolewa ingawa intake zilizofuatia wasichana waliwalaumu sana hawa dada zao kwa uamuzi ule.Hivi leo hii hawa watoto wetu wana courage ya aina hii?unaweza kupata msomi anayejiamini hivi leo hii?hata wewe kama umejaliwa kupita katika mfumo mzuri wa elimu maybe kabla mambo hayajaharibika,halafu ukamalizia ughaibuni,unakuja hapa unakuta ofisi zimejaa watu wasio competent,wamebebwa tuu kwa kujuana,na wale wenye elimu sahihi washaharibiwa na mfumo,wako corrupt,ofisi zinajaa watu hawa,utafanya nini?na huu utamaduni unaenea kila kukicha hadi ufike ikulu,matokeo yake ni huduma mbovu kwa jamii,unyanyasaji,uonevu,ubabe mwishowe wananchi watachoka.hawataona thamani ya msomi na umuhimu wake kwa jamii.Meli yetu itakosa nahodha.ikifika hapo,tutapatwa na matatizo makubwa sana.Mungu apishilie mbali.
 
Back
Top Bottom