Mr Why JF-Expert Member Joined Nov 27, 2019 Posts 2,992 Reaction score 5,665 Apr 17, 2025 #1 Amakweli kifo cha Simba furaha kwa Swala, ACT Wazalendo wanatumia matatizo ya CHADEMA kama fursa katika Chama chao ACT wamesikika wakishawishi Wanachama wa CHADEMA wajiunge katika Chama chao endapo kama wanataka kufanikiwa kisiasa ACT inajulikama kama Chama pinzani lakini kimekuwa kikifurahia anguko la CHADEMA
Amakweli kifo cha Simba furaha kwa Swala, ACT Wazalendo wanatumia matatizo ya CHADEMA kama fursa katika Chama chao ACT wamesikika wakishawishi Wanachama wa CHADEMA wajiunge katika Chama chao endapo kama wanataka kufanikiwa kisiasa ACT inajulikama kama Chama pinzani lakini kimekuwa kikifurahia anguko la CHADEMA
K Kingmbusel JF-Expert Member Joined Sep 9, 2024 Posts 624 Reaction score 958 Apr 17, 2025 #2 wawe waangalifu hao wanaokaribishwa, waweza kuhama tu na muafaka ukafikiwa ikala kwao
King klax JF-Expert Member Joined Jul 10, 2015 Posts 4,798 Reaction score 3,331 Apr 17, 2025 #3 Mwaka huu ss CCM tunataka kujua wapinzani wetu wa kweli ni yupi naona CDM ndiyo wapinzani wetu wengine hawa ni wenzetu hawatupi shida ila bado CDM kuna makapi yetu tunayataka
Mwaka huu ss CCM tunataka kujua wapinzani wetu wa kweli ni yupi naona CDM ndiyo wapinzani wetu wengine hawa ni wenzetu hawatupi shida ila bado CDM kuna makapi yetu tunayataka
Satan JF-Expert Member Joined Aug 9, 2017 Posts 2,201 Reaction score 3,652 Apr 17, 2025 #4 Kufa kufaana... Nani hataki ruzuku kubwa? Kwanza wanasiasa wote wana tabia moja inayofanana, ubinafsi; ila, kinachowatofautisha ni wapi, kivipi na kwanamna gani wenzie alipofikia.
Kufa kufaana... Nani hataki ruzuku kubwa? Kwanza wanasiasa wote wana tabia moja inayofanana, ubinafsi; ila, kinachowatofautisha ni wapi, kivipi na kwanamna gani wenzie alipofikia.