Amana Benki ya Kiislamu yaanzishwa Tanzania

Dr. Idris Rashid, ni Managing Director.......
 
Niagizieni ilipo benki niende nkajaribu bahati yangu ya mkopo bila riba.
Mi mkristo, ntapewa kipaumbele?
Ipo jengo jipya Golden Jubilee towers....tia timu pale...sijajua kama ukipewa mkopo unarudisha kama ulivyo...no riba...kama ni hivyo na mie nitaenda kopa...



Data please....
 
Idrisa Rashid ndiye MD? Hata fisadi na huko kweli?
 
tahadhari!
kama hii bank yetu tutaiendesha kama tulivyofanya kwa taasisi nyingine mfano ile shule ya al haramain.................
tutakua tumejiua!
Tujaribu kuwa makini kwa hilo

Bingo......yu r as smart as an automatic watch...............................marhabaaa sasa tuwachukue na bakwata wetu hapo waje watuchanganye na watukafini huku tunajiona maana sijui tuna sisi ????

Professionalism shuld be left alone (given chance) ili mambo yanyooke hapo sio kila mwenye sijda awe member wa bodi......plz...plz....plz....hili lifanyike kwa umakini na utaalamu wa hali ya juu la sivyooo tutabaki kulaumu na kuhesabu ya wasio waislamu as if wao wanaishi kwenye akili zetu na sisi tunaishi kwenye nyayo zao

Wahadha- assalaam
 
Kwa taarifa nilizo nazo za uhakika, Benki hii makao makuu yake yako PPF Tower 3rd Floor kwa muda na mwezi March,2012 itahamia jengo la jirani PSPF 1st floor. imeanza na branch moja kariako na baadae January itafungua Nyerere Road karibu na Quality Plaza na march PSPF chini. Unaweza kwenda kufungua account moja kwa moja Kariakoo au Makao makuu.

Jinsi inavyofanya kazi, ni benki kwa ajili ya wote, ni benki inayofuata Sharia Priciples, tofauti kubwa na benki zingine ni kutokutoza riba na inashughulika na biashara halali (ina maana kampuni kama TCC, Breaweries, nazinginezo kama hizo hazitapata nafasi kwenye benki hii) Tofauti naainisha kama ifuatavyo

Deposits
Depositors (Fixed deposit & Savings) hawatalipwa interest, bali watashare na benki mapato yatokanayo na kufinance miradi mbalimbali kwa uwiano utakokubaliana mwanzo kama 70% kwa 30% etc.

Mikopo
Mteja ataleta proposal ya chochote anachotaka kufanya ila kiwe halali, then bank inatanunua na kumuzia kwa faida, kwa mfano wataka gari toka Japani, utapeleka profoma invoice bank na benki itanunua gari hilo likishafika bandarini na kukombolewa utauziwa kwa faida na kuanza lipa benki kwa instalment,kama nyumba benki italipa contractors, kama hardware, benki italipa unako agiza nk nk, cha muhimu hapa hupewi cash, (maana wanaopewa cash wanafanyia biashara tofauti na walivoombea,matokeo kudefault.
 
Ni wakati muafaka kwa taasisi za kiislam kutumia bank hii ..
 

Hilo ndio jibu sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…