Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Mbowe ni mwanasiasa siyo mwanaharakati.Kaimu Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA – Tanzania Bara, Amani Golugwa, amefunguka kuhusu ukimya wa hivi karibuni kati ya chama na Mwenyekiti Mstaafu Freeman Mbowe, akisisitiza kuwa hakuna ugomvi wala kununiana.
Mbowe ni mwanasiasa siyo mwanaharakatiKaimu Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA – Tanzania Bara, Amani Golugwa, amefunguka kuhusu ukimya wa hivi karibuni kati ya chama na Mwenyekiti Mstaafu Freeman Mbowe, akisisitiza kuwa hakuna ugomvi wala kununiana.
Pimbi mamako mzazi bwege wewe. Damu ya Thadei Ole Mushi itaendelea kujutesa maisha yako yoteMbowe ni Makamu Mwenyekiti Mstaafu?
Hahà hawa pimbi bana
Siyo gaid tena ???Mbowe ni mwanasiasa siyo mwanaharakati.
Harakati ni sehemu ya siasa. Mandela alifanya siasa zake kiharakati. Aina ya siasa huamuliwa na mazingira ya wakati husika.Mbowe ni mwanasiasa siyo mwanaharakati.
Hao si watu wenye misimamo kwenye Wanachokisema.Siyo gaid tena ???
Unamuweka mtu ndani miezi 8 unaitangazia dunia kwamba tz kuna gaidi. Kisha unamtoa na kumpeleka moja kwa moja IKULU.Hao si watu wenye misimamo kwenye Wanachokisema.
Golugwa bwegeKaimu Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA – Tanzania Bara, Amani Golugwa, amefunguka kuhusu ukimya wa hivi karibuni kati ya chama na Mwenyekiti Mstaafu Freeman Mbowe, akisisitiza kuwa hakuna ugomvi wala kununiana.
Kwa hiyo huyo Golugwa anapomwita Mbowe Makamu Mwenyekiti Mstaafu yuko sawa na ndio msimamo wa anachokisema?Hao si watu wenye misimamo kwenye Wanachokisema.
Akili imepata mgagaziko. Ni kawaida hutokea kwa binadamu. Kama mtu anaweza kuchanganya majina ya watoto aliowazaa yeye mwenyewe itakuwa Golungwa kuchanganya nafasi ya Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti?Kwa hiyo huyo Golugwa anapomwita Mbowe Makamu Mwenyekiti Mstaafu yuko sawa na ndio msimamo wa anachokisema?
Mbowe alikuwa Makamu Mwenyekiti wa Chadema?