GE2025 Amani Golugwa: CHADEMA hatujanuniana na Mbowe, faragha yake iheshimiwe

GE2025 Amani Golugwa: CHADEMA hatujanuniana na Mbowe, faragha yake iheshimiwe

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kwa hiyo huyo Golugwa anapomwita Mbowe Makamu Mwenyekiti Mstaafu yuko sawa na ndio msimamo wa anachokisema?

Mbowe alikuwa Makamu Mwenyekiti wa Chadema?
Una akili timaru wewe? Yote aliyosema hujayasikia unesikia hilo la makamu tu? Lowasa anajulikana kama waziri mkuu mstaafu alistaafu lini? Wapi na kwann?
 
Una akili timaru wewe? Yote aliyosema hujayasikia unesikia hilo la makamu tu? Lowasa anajulikana kama waziri mkuu mstaafu alistaafu lini? Wapi na kwann?
Anakoseaje Cheo cha Mwenyekiti wake Na kumwita Makamu Mwenyekiti? Una masikio wewe?

Rudia kusikiliza hiyo clip mjinga wewe
 
Akili imepata mgagaziko. Ni kawaida hutokea kwa binadamu. Kama mtu anaweza kuchanganya majina ya watoto aliowazaa yeye mwenyewe itakuwa Golungwa kuchanganya nafasi ya Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti?
Hamna kitu dharau kwa Mbowe.Hawajaanza kundharau leo
 
Anakoseaje Cheo cha Mwenyekiti wake Na kumwita Makamu Mwenyekiti? Una masikio wewe?

Rudia kusikiliza hiyo clip mjinga wewe
Sasa kwani akikosea cheo ndiyo ujumbe haufiki? Kwani babies samia ni raisi wa awamu ya ngapi na wewe na chawa wenzio mnamuita wa awamu ya ngapi?
Watu walikosea mpaka picha ya julius huko burigi! Wewe ulikuwa wapi?
Watu walikosea mpaka barua ya Aaskofu gwajima wewe ulikuwa wapi
Bb yenu mwenyewe alikosea mpaka kuteua ma Ded waliokufa na kustaafu huko wewe ulikuwa wapi?
 
huyo jamaa achana naye, hajui lo lote. Maisha yenyewe ni harakati. yeye hajui
 
Kaimu Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA – Tanzania Bara, Amani Golugwa, amefunguka kuhusu ukimya wa hivi karibuni kati ya chama na Mwenyekiti Mstaafu Freeman Mbowe, akisisitiza kuwa hakuna ugomvi wala kununiana.

Huu ni unafiki, hivi Mbowe ni MAKAMU Mwenyekiti Mstaafu kweli? Halafu unamtaka Mbowe ajibu wanayotaka kuyasikia wanachama, Hayo wanayotaka kuyasikia ndiyo yaambatane na Matusi, kejeri, Kashfa na hajawahi kutoka hata kuyakemea au kukenea? Halafu huko ndio KUMPENDA😮😮
 
Wanaotukana viongozi wa sasa nani anawakemea? Mbowe amewahi toka hadharani na kusema kuwa viongozi wa sasa wasibagazwe?
 
Wanaotukana viongozi wa sasa nani anawakemea? Mbowe amewahi toka hadharani na kusema kuwa viongozi wa sasa wasibagazwe?
Hakuna Wanachadema wanaotukana viongozi wa Sasa, pamoja na kuwapo wanaotofautiana na msimamo wa viongozi wa Sasa. Fikiria Kiongozi wa juu wa Chama hataki kumtambua Mbowe alikuwa Mwenyekiti, anamtambua Kama alikuwa Makamu Mwenyekiti unadhani ni jambo la bahati mbaya. Hiyo ni dhihaka.
 
Golugwa bwege
Anamwitaje Mbowe Makamu mwenyekiti msataafu?

Hawa watu wa Lisu na Lisu mwenyewe hawana adabu kwa Mbowe.

Yaani Golugwa anamdhalilisha Mbowe kwa kumwita Makamu mwenyekiti mstaafu halafu karudia kwa msisitizo
Eee yupo sahihi mwenyekiti alikuwa kijani kule na kutoa maelekezo kwa utekelezaji.
 
Back
Top Bottom