Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 17,499
- 25,295
Una akili timaru wewe? Yote aliyosema hujayasikia unesikia hilo la makamu tu? Lowasa anajulikana kama waziri mkuu mstaafu alistaafu lini? Wapi na kwann?Kwa hiyo huyo Golugwa anapomwita Mbowe Makamu Mwenyekiti Mstaafu yuko sawa na ndio msimamo wa anachokisema?
Mbowe alikuwa Makamu Mwenyekiti wa Chadema?
Anakoseaje Cheo cha Mwenyekiti wake Na kumwita Makamu Mwenyekiti? Una masikio wewe?Una akili timaru wewe? Yote aliyosema hujayasikia unesikia hilo la makamu tu? Lowasa anajulikana kama waziri mkuu mstaafu alistaafu lini? Wapi na kwann?
Hamna kitu dharau kwa Mbowe.Hawajaanza kundharau leoAkili imepata mgagaziko. Ni kawaida hutokea kwa binadamu. Kama mtu anaweza kuchanganya majina ya watoto aliowazaa yeye mwenyewe itakuwa Golungwa kuchanganya nafasi ya Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti?
Golugwa hawezi kumdharau Mbowe. Wanaheshimiana sana.Hamna kitu dharau kwa Mbowe.Hawajaanza kundharau leo
Sasa kwani akikosea cheo ndiyo ujumbe haufiki? Kwani babies samia ni raisi wa awamu ya ngapi na wewe na chawa wenzio mnamuita wa awamu ya ngapi?Anakoseaje Cheo cha Mwenyekiti wake Na kumwita Makamu Mwenyekiti? Una masikio wewe?
Rudia kusikiliza hiyo clip mjinga wewe
Huu ni unafiki, hivi Mbowe ni MAKAMU Mwenyekiti Mstaafu kweli? Halafu unamtaka Mbowe ajibu wanayotaka kuyasikia wanachama, Hayo wanayotaka kuyasikia ndiyo yaambatane na Matusi, kejeri, Kashfa na hajawahi kutoka hata kuyakemea au kukenea? Halafu huko ndio KUMPENDA😮😮Kaimu Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA – Tanzania Bara, Amani Golugwa, amefunguka kuhusu ukimya wa hivi karibuni kati ya chama na Mwenyekiti Mstaafu Freeman Mbowe, akisisitiza kuwa hakuna ugomvi wala kununiana.
Wanaotukana viongozi wa sasa nani anawakemea? Mbowe amewahi toka hadharani na kusema kuwa viongozi wa sasa wasibagazwe?Huu ni unafiki, hivi Mbowe ni MAKAMU Mwenyekiti Mstaafu kweli? Halafu unamtaka Mbowe ajibu wanayotaka kuyasikia wanachama, Hayo wanayotaka kuyasikia ndiyo yaambatane na Matusi, kejeri, Kashfa na hajawahi kutoka hata kuyakemea au kukenea? Halafu huko ndio KUMPENDA😮😮
Hakuna Wanachadema wanaotukana viongozi wa Sasa, pamoja na kuwapo wanaotofautiana na msimamo wa viongozi wa Sasa. Fikiria Kiongozi wa juu wa Chama hataki kumtambua Mbowe alikuwa Mwenyekiti, anamtambua Kama alikuwa Makamu Mwenyekiti unadhani ni jambo la bahati mbaya. Hiyo ni dhihaka.Wanaotukana viongozi wa sasa nani anawakemea? Mbowe amewahi toka hadharani na kusema kuwa viongozi wa sasa wasibagazwe?
Eee yupo sahihi mwenyekiti alikuwa kijani kule na kutoa maelekezo kwa utekelezaji.Golugwa bwege
Anamwitaje Mbowe Makamu mwenyekiti msataafu?
Hawa watu wa Lisu na Lisu mwenyewe hawana adabu kwa Mbowe.
Yaani Golugwa anamdhalilisha Mbowe kwa kumwita Makamu mwenyekiti mstaafu halafu karudia kwa msisitizo
Hata mimi nimeshangaa anavyomuita Makamu Mwenyekiti Mstaafu! Halafu karudia bila mwandishi kumsahihisha. Sidhani kama Mbowe ana wajibu wa kujibu maswali ya wanachama wa Chadema.Mbowe ni Makamu Mwenyekiti Mstaafu?
Hahà hawa pimbi bana