Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Yes ni sahihi,Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Bara, Amani Golugwa amesema msimamo wa chama hicho kutosaini kanuni za uchaguzi Mkuu 2025, wanajiona wako sawa huku akikisisitiza hawatakimbilia kusaini zaidi ya kufichua yasiyofaa.
“Tunaona tunaenda sawa kabisa na watu wanazungumza operesheni yetu ya ‘No reforms, no election’ hivyo mkakati huu tunaenda nao sawa kabisa,” amesema.
GOlugwa ameyasema hayo leo Jumatano Aprili 16,2025 wakati akichangia mjadala wa Mwananchi X Space wenye mada isemayo: Kanuni za maadili ya uchaguzi 2025 na mustakabali wa siasa za Chadema ulioandaliwa na Mwananchi Communications Limited (MCL).
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Msingi wa hoja yake ni kwamba, kusainiwa kwa kanuni hiyo ni takwa la kifungu cha 162 cha Sheria ya Uchaguzi wa Marais, Wabunge na Madiwani, kinachovitaka vyama vya siasa, Serikali na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kusaini kanuni hizo.
Aprili 12, 2025 Mkurugenzi wa Tume Huru ya Uchaguzi (INEC), Ramadhan Kailima alisema Chadema hakitashiriki Uchaguzi Mkuu wa Oktoba na chaguzi ndogo zitakazofuata kwa muda wa miaka mitano baada ya chama hicho kususia kusaini kanuni, hivyo kukosa sifa ya kushiriki mchakato huo.
“Hili la kanuni hatutafuti kuridhiana hapa, hapa tunatafuta mabadiliko ya mifumo ya uchaguzi, hatutakimbilia kusaini kanuni isipokuwa tutaendelea kuyasema yanayotakiwa kufanyiwa mabadiliko,” amesema Golugwa.
Amesema kanuni hizo zinatumika kama fimbo ya kuvichapia vyama vya upinzani.
Gentleman I was just like you from 2017 mpaka 2021. Nilikuwa patriot zaidi yako. CCM watakuja kukugeuzia Kibao usiamini macho yako.Yes ni sahihi,
kwasababu Chadema haitakuwepo kwenye ballot papers Uchaguzi mkuu 2025🐒
Gentleman,Gentleman I was just like you from 2017 mpaka 2021. Nilikuwa patriot zaidi yako. CCM watakuja kukugeuzia Kibao usiamini macho yako.
Endelea tu kupoteza muda wako na viongozi na watoto wa vigogo wa CCM.
Unafaidika na nini wewe.Yes ni sahihi,
kwasababu Chadema haitakuwepo kwenye ballot papers Uchaguzi mkuu 2025🐒
najiskia faraja sana kusema ukweli gentleman,Unafaidika na nini wewe.
Wewe ni ujinga wako ulikuponza.Gentleman I was just like you from 2017 mpaka 2021. Nilikuwa patriot zaidi yako. CCM watakuja kukugeuzia Kibao usiamini macho yako.
Endelea tu kupoteza muda wako na viongozi na watoto wa vigogo wa CCM.
Endeleeni kupoteza muda wenu na vigogo na CCM na watoto wao wewe na gentleman mwenzio TlaatlaahWewe ni ujinga wako ulikuponza.
Endelea tu kupoteza muda wako na viongozi wa CCM na watoto wao.Gentleman,
no one will be like me on earth, usipotoshe wadau,
mimi ndie mwenye kibao,
hakuna tapeli au kibaka wa kisiasa, wakunibabaisha kwa lolote popote Tz.
uzembe wako binafsi hauwezi kua uzembe wa wengine gentleman 🐒
Sisi ndo vigogo wenyewe. Au unadhani kila mtu humu yuko kama wewe?Endeleeni kupoteza muda wenu na vigogo na CCM na watoto wao wewe na gentleman mwenzio Tlaatlaah
Watawageuzia Kibao hao, hamtakaa muamini macho yenu.
endelea kunifuatilia ili upate ukweli wa mambo haya gentleman,Endelea tu kupoteza muda wako na viongozi wa CCM na watoto wao.
Wako sahihi maana walishasema hawatoshiriki uchaguzi mkuu kwa nini wasaini fomu za kanuni za maadili?Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Bara, Amani Golugwa amesema msimamo wa chama hicho kutosaini kanuni za uchaguzi Mkuu 2025, wanajiona wako sawa huku akikisisitiza hawatakimbilia kusaini zaidi ya kufichua yasiyofaa.