Amani Golugwa hizo ni propaganda huwezi mkiki wa CCM

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
6,846
Reaction score
10,288
Siasa za mchakamchaka huzuwezi.
Hujawahi kuwekwa lupango, hujawahi kupigwa kirungu.

Hujawahi kufikia level ya Wenje ktk harakati za upinzani za kwenda ughaibuni
Umechukuliwa kama favor baada ya kuwa kampeni manager wa Lissu ambae ametoa kama zawadi ya cheo hicho.

Unaposema kwamba bila ya tume huru hakuna uchaguzi hizo ni propaganda.

Hizo ni ndoto ndoto.
 
Acha utoto, Amani Golugwa nadhani ndio best Katibu wa kanda kwa chadema hapa Tanzania. Na ndio moja ya watu walioshape sana chadema kanda ya kaskazini hadi culmination ya 2015 tulipozoa majimbo, halmashauri na madiwani wa kumwaga. Hata kuwa campaign manager ni sababu ya uwezo wake huo mkubwa in fact ni PhD kabisa so hakuna kupewa vyeo kwa kujuana hapa huyu ni deserved kabisa.
 
Zambia maeneo ya Mkushi kulikuwa na kambi ya wapigania uhuru wanawake wa Afrika kusini ambao walivamiwa usiku na makaburu wa South Rhodesia (Zimbabwe) wakauwawa kikatili sana... makaburu wakampiga biti Kaunda kuwa akifanya lolote atakuwa katangaza vita kamili na Zambia itapigwa. Ilibidi kambi za wapigania uhuru zihamishiwe Tanzania ambapo makaburu wakanywea... hata makaburu wanaujua muziki wa CCM. Hiki chama hakifananishwi na chama chochote hapa Afrika. CHADEMA wapige tu makelele kwa sababu ni haki yao kikatiba lakini suala la kuongoza hii nchi bado sana. Huu ndo ukweli mchungu.
 
Kwa hiyo sisi Tufanyaje?
 
Siasa za mchakamchaka huzuwezi.
Hujawahi kuwekwa lupango, hujawahi kupigwa kirungu.

Hujawahi kufikia level ya Wenje ktk harakati za upinzani za kwenda ughaibuni
Umechukuliwa kama favor baada ya kuwa kampeni manager wa Lissu ambae ametoa kama zawadi ya cheo hicho.

Unaposema kwamba bila ya tume huru hakuna uchaguzi hizo ni propaganda.

Hizo ni ndoto ndoto.

Pia soma
- Pre GE2025 - Golugwa: Uimara wa CCM ndani ya miaka 48, CHADEMA tujipange
Haya ni mambo ya kiume dada yangu wewe kakune nazi umpikie mumeo
 
Siasa za mchakamchaka huzuwezi.
Hujawahi kuwekwa lupango, hujawahi kupigwa kirungu.

Hujawahi kufikia level ya Wenje ktk harakati za upinzani za kwenda ughaibuni
Umechukuliwa kama favor baada ya kuwa kampeni manager wa Lissu ambae ametoa kama zawadi ya cheo hicho.

Unaposema kwamba bila ya tume huru hakuna uchaguzi hizo ni propaganda.

Hizo ni ndoto ndoto.

Pia soma
- Pre GE2025 - Golugwa: Uimara wa CCM ndani ya miaka 48, CHADEMA tujipange
Kwani kuweka lupango ndiyo kujua siasa?
 
..Mama Abduli amewahi kupigwa kirungu, au kupakiwa kwenye karandinga?

..Dr.Mchimbi amewahi kupigwa kirungu, bomu la machozi, au kulazwa mahabusu?
 
Ccm mbele kwa mbele
 
Siasa za mchakamchaka huzuwezi.
Hujawahi kuwekwa lupango, hujawahi kupigwa kirungu.

Hujawahi kufikia level ya Wenje ktk harakati za upinzani za kwenda ughaibuni
Umechukuliwa kama favor baada ya kuwa kampeni manager wa Lissu ambae ametoa kama zawadi ya cheo hicho.

Unaposema kwamba bila ya tume huru hakuna uchaguzi hizo ni propaganda.

Hizo ni ndoto ndoto.

Pia soma
- Pre GE2025 - Golugwa: Uimara wa CCM ndani ya miaka 48, CHADEMA tujipange
Baada ya kuona unamuabudu Wenje nikaishia hapo, sijaendelea kuusoma upumbavu
 
Zambia maeneo ya Mkushi kulikuwa na kambi ya wapigania uhuru wanawake wa Afrika kusini ambao walivamiwa usiku na makaburu wa South Rhodesia (Zimbabwe) wakauwawa kikatili sana... makaburu wakampiga biti Kaunda kuwa akifanya lolote atakuwa katangaza vita kamili na Zambia itapigwa. Ilibidi kambi za wapigania uhuru zihamishiwe Tanzania ambapo makaburu wakanywea... hata makaburu wanaujua muziki wa CCM. Hiki chama hakifananishwi na chama chochote hapa Afrika. CHADEMA wapige tu makelele kwa sababu ni haki yao kikatiba lakini suala la kuongoza hii nchi bado sana. Huu ndo ukweli mchungu.
WEWE SIO MUNGU. UCHAWI WENU WA NYENYERE UMEFIKA MWISHO
 
CCM ya Nyerere na CCM ya Samia ni mbingu na ardhi. CCM ya Samia imefilisika na mwenyekiti wake hana uwezo hawa wa kuongoza kijiji. Koma kabisa kumfananisha Nyerere na watu wa hovyo kama hawa wa CCM ya sasa.
 
Samia hana uwezo wa kuongoza kijiji wakati analiongoza taifa letu lenye makanisa zaidi ya 10,000 nchi nzima?
 
Back
Top Bottom