Baada ya CCM kupitia serikali yake dhalimu kupiga marufuku mikutano ya siasa na wao kuanza kumtumia waziri mkuu wao fake Mwigulu kumwaga sumu ya kuwa maandamano yameandaliwa kuleta vurugu na wao CCM ndo watunza amani.
Hayo maneno naona yameanza kukubalika kwa baadhi ya wananchi na kuamini kuwa...
Chadema ni wakati sasa wakutoa tamko kali. Hii ya kusema kuzuia mikutano ya kisiasa ni danganya toto tu, wao CCM wanaendelea na mikutano kama kawaida kupitia waziri mkuu wao fake. Leo huyo waziri mkuu fake alichokuwa anaongea ni siasa tu.
Na ataendelea hivyo nchi nzima kwa kisingizio ni ziara...
Wote nimewaelewa Ila kuna mmoja hajamuelewa Mwingine kwako MangeKimambi na kaka @HecheJohn
Tusiwape Mwanya CCM kupata upenyo wa kutugawa kupitia nyufa za Majadiliano ya namna ya tunavyojadili masuala,
Kwa namna yeyote ile @TunduALissu Lissu lazima awe out na ndo suala muhimu! Tunajua...
GT.
Narudia tena kuwaambia kwa sasa CCM wanawaza uchaguzi wa 2030 tu hawana jingine...Mwigulu kaja kama master mind wa kutengeneza upumbavu ili siku zisonge mbele.
Tusipokuwa makini mtachezewa hapa propaganda za kipumbavu mara paaa 2030 hii hapa hakuna lolote la maana lililofanyika.
Tuna...
Siasa za mchakamchaka huzuwezi.
Hujawahi kuwekwa lupango, hujawahi kupigwa kirungu.
Hujawahi kufikia level ya Wenje ktk harakati za upinzani za kwenda ughaibuni
Umechukuliwa kama favor baada ya kuwa kampeni manager wa Lissu ambae ametoa kama zawadi ya cheo hicho.
Unaposema kwamba bila ya tume...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.