Uelewa wa Watanzania bado ni mdogo, inaelekea propaganda za CCM zimeshinda

TIETA

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2025
Posts
1,201
Reaction score
3,345
Baada ya CCM kupitia serikali yake dhalimu kupiga marufuku mikutano ya siasa na wao kuanza kumtumia waziri mkuu wao fake Mwigulu kumwaga sumu ya kuwa maandamano yameandaliwa kuleta vurugu na wao CCM ndo watunza amani.

Hayo maneno naona yameanza kukubalika kwa baadhi ya wananchi na kuamini kuwa huyo waziri mkuu fake anasema ukweli.
Pia CCM imeweza kuwapata vijana wenye njaa na kuwapa fedha ili ionekane kuwa wanapinga maandamano na wako tayari kuchinja watu kama wakiandamana. Hii imeleta mgawanyo wa wananchi na pia kuwaogopesha wananchi. (Divide and rule principle or divide and conquer principle).

HITIMISHO:
1. Hakuta kuwa na maandamano hiyo tarehe 7/7 na hata siku zijazo

2. Wamepandikiza chuki sana kati ya wananchi na wapinzani/wanaharakati
USHAURI:

1.Wapinzani wakitaka kutoboa lazima wawashirikishe vyombo vya kimataifa ikiwezekana kama alivyoshauri mtu mmoja kuwa wafanye mpango wa kumuona Trump na baadhi ya viongozi wakubwa wa dunia
2. Waandae vipeperushi na kuvisambaza nchi nzima vya kueleza umuhimu wa katiba na haki za raia.
 
Mkuu, wew ulitaka wananchi wafanye nini kama CCM inatumis Dola kwenye kila kitu.

Maandamano ni week ijayo. Lakin vituo vyote vya BRT na junction mmejaza armed police. Kila mahali wanajeshi wametandazwa utafikiri nchi iko vitani.

Tunakaribia mwaka sasa Toka uchaguzi wa last year.
Hakuna kitu mnaweza jivunia mmefanya kama serikali.
Miradi inasuasa, Tanroads huko ni kilio Barabara hazikarabatiwi kabisa siku hiz, SGR sijui hata imeishia wap.
Waziri mkuu ilibidi awe huko sio kushindana na wanasiasa
 
Baada ya CCM kupitia serikali yake dhalimu kupiga marufuku mikutano ya siasa na wao kuanza kumtumia waziri mkuu wao fake Mwigulu kumwaga sumu ya kuwa maandamano yameandaliwa kuleta vurugu na wao CCM ndo watunza amani.

Hayo maneno naona yameanza kukubalika kwa baadhi ya wananchi na kuamini kuwa huyo waziri mkuu fake anasema ukweli.
Pia CCM imeweza kuwapata vijana wenye njaa na kuwapa fedha ili ionekane kuwa wanapinga maandamano na wako tayari kuchinja watu kama wakiandamana. Hii imeleta mgawanyo wa wananchi na pia kuwaogopesha wananchi. (Divide and rule principle or divide and conquer principle).

HITIMISHO:
1. Hakuta kuwa na maandamano hiyo tarehe 7/7 na hata siku zijazo

2. Wamepandikiza chuki sana kati ya wananchi na wapinzani/wanaharakati
USHAURI:

1.Wapinzani wakitaka kutoboa lazima wawashirikishe vyombo vya kimataifa ikiwezekana kama alivyoshauri mtu mmoja kuwa wafanye mpango wa kumuona Trump na baadhi ya viongozi wakubwa wa dunia
2. Waandae vipeperushi na kuvisambaza nchi nzima vya kueleza umuhimu wa katiba na haki za raia.

..huoni serikali inavyohaha?

..juzi Mwigulu alikuwa Ikungi kijijini kwa Tundu Lissu.

..leo yuko Nyamongo kwa kina John Heche.

..Katambi kakimbilia kijijini kwao kuwashawishi wazee.

..na kabla ya ziara kalazimika kuzuia mikutano ya Chadema.

..kwa kifupi serikali imeshindwa kushindanisha HOJA na Chadema mbele ya wananchi.

..maandamano kutokufanyika sio hoja, bali ujumbe wa maandamano umefika, na umetikisa.

..kuna muandishi alipata kusema, " hamkani si shwari tena. "
 
Fikiria ni kiasi gani cha pesa serikali itapoteza kwenye maonesho haya ya 7/7.
Alafu kumbuka kuwa maandamano haya hajaitishwa na CHADEMA ni watu Tu wa mitandaoni ndiyo wameitisha
 
..huoni serikali inavyohaha?

..juzi Mwigulu alikuwa Ikungi kijijini kwa Tundu Lissu.

..leo yuko Nyamongo kwa kina John Heche.

..Katambi kakimbilia kijijini kwao kuwashawishi wazee.

..na kabla ya ziara kalazimika kuzuia mikutano ya Chadema.

..kwa kifupi serikali imeshindwa kushindanisha HOJA na Chadema mbele ya wananchi.

..maandamano kutokufanyika sio hoja, bali ujumbe wa maandamano umefika, na umetikisa.

..kuna muandishi alipata kusema, " hamkani si shwari tena. "
Njia ambayo ni very effective kushinikiza changes ni maandamano. Sasa kama wameweza kuyadhibiti na kuwagawa watanzania. Sioni ujmbe huo kama unaweza kuleta changes zozote. CCM wako tayari kuharibu nchi by any mens lakini waendelee kubaki madarakani.
Kinachonisikitisha uwelewa wa wananchi bado ni mdogo saaana
 
..sioni kama wananchi wamegawika.

..Ni serikali tu imeunda magenge ya vitisho ambayo wananchi wameyadharau.

..hayo magenge unayoyaona sasa hivi baada ya muda yatafifia kama wale wakatoliki feki.

..serikali imeshindwa kujitetea kuhusu mauaji ya OCT 29.

..bila CCM kuamua kuwawajibisha, na kuwatenga, wanachama wao walioifikisha nchi OCT 29 chama kinakwenda kuzama.
 
Maandamano yameshafanyika na yamefanikiwa sana askari wenye silaha za kivita kila mtaa haya tayari ni Maandamano, dunia inaona kuwa Tanzania kuna shida. Mission accomplished. Tumewajambisha kinoma noma.
 
..sioni kama wananchi wamegawika.

..Ni serikali tu imeunda magenge ya vitisho ambayo wananchi wameyadharau.

..hayo magenge unayoyaona sasa hivi baada ya muda yatafifia kama wale wakatoliki feki.

..serikali imeshindwa kujitetea kuhusu mauaji ya OCT 29.

..bila CCM kuamua kuwawajibisha, na kuwatenga, wanachama wao walioifikisha nchi OCT 29 chama kinakwenda kuzama.
CCM kuendelea kuhodhiwa na wanamtandao ndiyo kaburi lake.
 
Mkuu watanganyika sio wapumbavu kama unavyo Dhani, hakuna chuki yeyote ya wananchi Kwa CDM hata wafungiwe miaka yote hope ya wananchi Kwa nzi ilishaisha since 29 Oct, by the way ufalme wa ibilisi inaenda kudondoka soon.
 
..huoni serikali inavyohaha?

..juzi Mwigulu alikuwa Ikungi kijijini kwa Tundu Lissu.

..leo yuko Nyamongo kwa kina John Heche.

..Katambi kakimbilia kijijini kwao kuwashawishi wazee.

..na kabla ya ziara kalazimika kuzuia mikutano ya Chadema.

..kwa kifupi serikali imeshindwa kushindanisha HOJA na Chadema mbele ya wananchi.

..maandamano kutokufanyika sio hoja, bali ujumbe wa maandamano umefika, na umetikisa.

..kuna muandishi alipata kusema, " hamkani si shwari tena. "
Kimsingi serikali haishindani na CHADEMA , Bali na wananchi walioichoka, asilimia kubwa ya Watanzania wamewachoka viongozi wabadhirifu, wezi wa mali ya umma na wauaji, inapofika serikali inaua raia wake na kutumia vyombo vya ulinzi na usalama kusalia madarakani huo ndio mwisho wake.
 
Back
Top Bottom