Watanzania Kamwe tusilogwe tukasahau agenda zetu nyeti kwa propaganda za kijinga za CCM

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
9,205
Reaction score
22,219
GT.

Narudia tena kuwaambia kwa sasa CCM wanawaza uchaguzi wa 2030 tu hawana jingine...Mwigulu kaja kama master mind wa kutengeneza upumbavu ili siku zisonge mbele.

Tusipokuwa makini mtachezewa hapa propaganda za kipumbavu mara paaa 2030 hii hapa hakuna lolote la maana lililofanyika.
Tuna agenda kuu kama ifuatavyo.

1. Waliouawa MO29 wapo wapi na ni wangapi?

2. Wahusika wote wa mauaji wawajibishwe.

3. Tundu lissu aachiwe maŕa moja

4. Upatikanaji wa katiba mpya itakayowawajibisha viongozi wote na raisi kupunguziwa mamlaka.

5. Tume huru ya uchaguzi itakayotupatia viongozi watokanao na wananchi.

6. Ufisadi na matumizi mabaya ya serikali yakomeshwe mara moja.

7. Hatutaki kusikia mtu katekwa tena

Hiki ndicho kipaumbele cha watanzania kwa sasa hizo takata zingie achaneni nazo.
 
Screenshot_20260105-085755~2.png
 
Hatutoki kwenye reli mkuu. Wauwaji wote lazima wapate stahiki yao
 
Back
Top Bottom