PostGE2025 Amani Golugwa: Serikali imeshindwa kujibu kuhusu kaburi la halaiki, twendeni na kamera, greda tukachimbe

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Naibu Katibu Mkuu, Amani Golugwa, amesema serikali kupitia kwa Msemaji wa Serikali imeshindwa kujibu tuhuma zilizotolewa na CNN kuhusu uwepo wa makaburi ya halaiki. Amesema kama kuna uwezekano, waende kwa kutumia kamera na greda wakafukue maeneo yanayotajwa ili kupata ukweli wa suala hilo.

Amani Golugwa ametoa msimamo huo wa chama leo Novemba 27, 2025.
 
Screenshot_20251121-231231_1.jpg
 
Ni swal ambalo watu tulijuiuliza.

Naibu Katibu Mkuu, Amani Golugwa, amesema serikali kupitia kwa Msemaji wa Serikali imeshindwa kujibu tuhuma zilizotolewa na CNN kuhusu uwepo wa makaburi ya halaiki. Amesema kama kuna uwezekano, waende kwa kutumia kamera na greda wakafukue maeneo yanayotajwa ili kupata ukweli wa suala hilo.

Amani Golugwa ametoa msimamo huo wa chama leo Novemba 27, 2025.
#D9 sehemu zote zinazohisiwa kuwa na makaburi ya halaiki zifukuliwe
 
Huko nao kwa sasa wanaogopa kwenda ..... satellite cameras zinafuatilia.
 
Naibu Katibu Mkuu, Amani Golugwa, amesema serikali kupitia kwa Msemaji wa Serikali imeshindwa kujibu tuhuma zilizotolewa na CNN kuhusu uwepo wa makaburi ya halaiki. Amesema kama kuna uwezekano, waende kwa kutumia kamera na greda wakafukue maeneo yanayotajwa ili kupata ukweli wa suala hilo.

Amani Golugwa ametoa msimamo huo wa chama leo Novemba 27, 2025.
Patamu hapo
 
#D9 sehemu zote zinazohisiwa kuwa na makaburi ya halaiki zifukuliwe
Wale majamaa wanaovaa mabakabaka wabakie hukohuko makambini kwao huko.. wananchi washaunda jeshi lingine wanaloliamini litaenda kufukua hayo makaburi ya halaiki na dunia itaona kilichofanyika..
 
Back
Top Bottom