Habari wana JF, nimekuwa msomaji wa jf kwa muda mrefu ila leo na mimi nimeona nijiunge rasmi niweze japo kuchangia hasa katika maswala ya kisiasa zaidi na niweke wazi kuwa I HATE CCM, na sababu ninazo.
yote ya yote naombeni mapokezi yenu wandugu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.