Amani iwe juu yenu

Amani iwe juu yenu

sifongo

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2011
Posts
4,896
Reaction score
5,305
Habari wana JF, nimekuwa msomaji wa jf kwa muda mrefu ila leo na mimi nimeona nijiunge rasmi niweze japo kuchangia hasa katika maswala ya kisiasa zaidi na niweke wazi kuwa I HATE CCM, na sababu ninazo.
yote ya yote naombeni mapokezi yenu wandugu.
 
Eee bwana eee kwel umekuja na bonge la mkwara. karibu lakini.
 
Back
Top Bottom