sifongo JF-Expert Member Joined Jun 5, 2011 Posts 4,896 Reaction score 5,305 Apr 12, 2013 #1 Habari wana JF, nimekuwa msomaji wa jf kwa muda mrefu ila leo na mimi nimeona nijiunge rasmi niweze japo kuchangia hasa katika maswala ya kisiasa zaidi na niweke wazi kuwa I HATE CCM, na sababu ninazo. yote ya yote naombeni mapokezi yenu wandugu.
Habari wana JF, nimekuwa msomaji wa jf kwa muda mrefu ila leo na mimi nimeona nijiunge rasmi niweze japo kuchangia hasa katika maswala ya kisiasa zaidi na niweke wazi kuwa I HATE CCM, na sababu ninazo. yote ya yote naombeni mapokezi yenu wandugu.
Globu JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 8,659 Reaction score 2,227 Apr 13, 2013 #2 Karibu JF.
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 73,773 Reaction score 102,126 Apr 13, 2013 #3 Karibu sana JF...
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 Apr 14, 2013 #5 Karibu sana JF.
Mamndenyi JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 43,242 Reaction score 60,939 Apr 14, 2013 #6 Eee bwana eee kwel umekuja na bonge la mkwara. karibu lakini.