Amani Karume aliijua nguvu ya karma, akatubu, akatafuta suluhu na Maalim Seif na Serikali ya Mseto Z'bar ikaundwa. Komandoo Salmini kulikoni?

JK alikuwa mwanasiasa haswa pamoja na mapungufu yake. Alichokosea ni kutokuona hatari ya huyu aliyemwachia.

BTW Pohamba ningependa kusikia commen yako kuhusu utawala uliopita wa Shein? Alikuwa at peace na Wazanzibar wote kweli au naye wanamchukulia kama Komandoo Salmin?
 
Mkuu naomba hiyo link ya video nitumie pm plz
 
Dr Shein ni Muungwana sana sana wa level ya Ally Hassan Mwinyi
 
Acha uongo, eti mwaka wa pili hana fahamu, hujui kuwa kwny ufunguzi wa Kampeni za Hussein Mwinyi alihudhuria
Zee limeisha aisee na kufa hafi sasa. Ni kama mama fulani mwaka wa pili hana fahamu amelala na yupo tuuu! Labda mwana anaweza kujifunza akiona hiyo hali
 
Zee limeisha aisee na kufa hafi sasa. Ni kama mama fulani mwaka wa pili hana fahamu amelala na yupo tuuu! Labda mwana anaweza kujifunza akiona hiyo hali
Waheshimu mama wa wenzako mkuu, ugonjwa humpata mtu aliye mwema na Alie mwovu......katubu.
 
Acha uongo, eti mwaka wa pili hana fahamu, hujui kuwa kwny ufunguzi wa Kampeni za Hussein Mwinyi alihudhuria
Nimesema mama wa fulani ndiye amelala. Huyo mzee yupo na anaweza kuchukua lisaa lizima akikokotwa kutembea kutoka chumbani kwenda sebuleni. Hahahahaa
 
Niliwahi sikia uovu alioufanya Komando alikuwa anakuchukua na mtoto wako kisha mwanaume anakuingilia nyuma mbele ya mwanao,Ukomandoo wake kwisha sasaivi,
 
Mtu mzima kukokotwa akitembea ni breaking news kwako?

Hata Mzee Jumbe pamoja na wema wote aliowafanyia wa Znz kupigania Nchi yao na kusalitiwa bado Allah alimpa mtihan wa Maradhi
Acha kufuru kujifanya unajua sababu ya mtu kupata maradhi, kuna Wema wangapi wamepata maradhi na kuna wahalifu wangapi wamedunda mtaani hadi 90 yrs?
Nimesema mama wa fulani ndiye amelala. Huyo mzee yupo na anaweza kuchukua lisaa lizima akikokotwa kutembea kutoka chumbani kwenda sebuleni. Hahahahaa
 
Achana na mimi. Kwangu muovu dhidi ya binadamu akisulubiwa na Mungu ni furaha. Ukitaka pasuka ila ni hivi nina furaha.
 
Kikwete ni Rais dhaifu sana! (J. Mnyika)
 
Achana na mimi. Kwangu muovu dhidi ya binadamu akisulubiwa na Mungu ni furaha. Ukitaka pasuka ila ni hivi nina furaha.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Furaha ya kulazimisha?

Kwahiyo badala ya kwenda road kama lisu alivyowaambia uko hapa kushangilia ugonjwa wa huyo mzee? Ndio itasidia lisu kuwa rais?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…