YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Karume na upinzani Zanzibar wakabila mno . Zanzibar akishika mwarabu mpemba au mtoto wa mwarabu mpemba serikali ya umoja wa kitaifa huwezekana akishika Mswahili ngozi nyeusi hata awe mpemba Kama Dr Sheiin Zanzibar haikaliki na hawataki serikali ya umoja wa kitaifa
Mfano Karume Mama yake ni mwarabu mpemba alioshika uraisi Maalim Seif Mtoto wa mwarabu mpemba akaacha vituko akaingia serikali ya umoja wa kitaifa maana waarabu wa Pemba hujuana kwa vilemba
Aliyemtangulia Karume Raisi Salmin Amour Mswahili ngozi nyeusi Maalim Seif mwarabu mpemba alimsumbua kweli kweli sio utani na hakutaka serikali ya umoja wa kitaifa naye
Raisi Mwinyi mzee baba yake Raisi Mwinyi wa Sasa alikuwa Mswahili ngozi nyeusi mtoto wa waswahili ngozi Nyeusi wapemba walimsumbua mno
Abdul wakil Mswahili vile vile walimsumbua kisa mtoto wa wazazi waswahili
Sasa huyu Raisi mwinyi wa Sasa Ni mtoto wa Mama asili ya kiarabu mama Siti Mwinyi hapo wapemba waarabu meno nje Maalim Seif akakubali serikali ya umoja wa kitaifa na mtoto wa mwarabu mwenzao!!!
Karume alikubalika kwa wapemba sababu Mama yake Mwarabu ndio maana anajitia kushangaa eti kwani wanamshangaa Maalim Seif mwarabu mwenzie!!!
ukabila Zanzibar mkali mno kuliko bara