Asikudangaje mtu Zanzibar serikali ya umoja wa kitaifa inawezekana tu pale mtoto wa mwarabu mpemba akishika Kama Raisi
Umerudia mara nyingi sana kusema "Waarabu Wapemba..."
Hao "Waarabu Wapemba" ni Waarabu wa aina gani, na wanatofautiana vipi na Waarabu wengine?
Btw, kwamba Serikali ya Umoja wa Kitaifa inawezekana tu pale madarakani anapokuwa Mwarabu... kwani hiyo Serikali ya Umoja wa Kitaifa ilianza wakati madarakani akiwa Mwarabu yupi, na ikafa wakati yupo Mswahili Mweusi yupi?!
akishika Mswahili ngozi nyeusi waarabu wapemba hawataki serikali ya umoja wa kuanzia kitaifa kuanzia kipindi Cha Karume baba yake huyo karume mwehu wapemba waliomuua ,
Hivi unaijua historia ya ZNZ kweli wewe?!
Karume aliuawa na Waarabu au aliuawa kutokana na utawala wake wa kidikteta?!
Au unata ukumbushwe ni namna gani alivyokuwa na hofu dhidi ya wanachama wa Umma Party kwa sababu tu, miongoni mwao walikuwa wasomi waliotukuka kuliko yeye, na pia wenye mitazamo ya kikomunisti!!
Yaani tuanze kukumbushana jinsi alivyokuwa anawaweka ndani wale aliokuwa anawaona threat kwake, na wengine kuwapeleka bara?!
Au nianze kukupa darasa hapa kwamba, watu wa mwanzo kabisa kuleta mgawanyiko ni Wanazi wa ASP ambao walikuwa Waafrika Weusi?
iwe kipindi Cha Mwinyi ,Raisi Idris Wakil, iwe kipindi Cha Salmin Amour ,Au kipindu Cha Dr Sheiin
Hao uliowataja walisumbuliwa na Waarabu gani?! Usitolee mfano wa akina Maalim Seif ambao walifikia hadi kutimuliwa kwa sababu hata Jumbe, native African nae alitimuliwa kwa sababu zile zile ambazo zilipelekea Maalim Seif kutimuliwa!
Huyu Makamu wa kwanza wa Raisi mfano wa Zanzibar wa Sasa Ni mla pilau tu misiba na pilau kwa waarabu wapemba na akina Duni Haji waswahili wenzie .Hana lolote
Yaani Othman Masoud hana lolote?! Hivi unawajua vizuri hawa watu wewe?
Zanzibar waarabu wapemba hawataki hata siku moja ishikwe na Mswahili mweusi Mia kwa Mia hata awe mpemba kama Shein nk hata wakushika Wala ubwabwa kwa wapemba kwenye misiba yao wawe CCM au upinzani wawe Duni Haji au huyo Makamu wa Kwanza wa Raisi atahesabika mtwana tu na hopeless hata awe upinzani
Wapemba waarabu Zanzibar Ni wakabila kupindukia akiwemo huyo Aliyekuwa Raisi Karume wa CCM mtoto wa Karume aliyeongea hayo
Mauaji ya kutisha kule Pemba yalitokea wakati rais akiwa nani? Alikuwa hao unaowaita Waswahili Weusi "wanaouchukiwa na waarabu wa Pemba" au alikuwa hao unaowaita Waarabu?!