Pre GE2025 Amani Manengelo, Katibu wa BAVICHA Mkoa wa Mwanza, ameripotiwa kutekwa na kupotea tangu tarehe 14.02.2025 huko Misungwi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hatari kubwa sana hii.

Maandamano pekee hayawezi kukomesha vitendo vya Utekaji. Lakini hatua kali zaidi za kupinga vitendo hivi zinapaswa kuchukuliwa, VIta kali Sana kwa sasa inapaswa kuelekezwa kwenye upatikanaji wa Katiba Mpya iliyo nzuri
We bwege nyie nyau ni mapimbi majinga
 
H
hiyo ni drama,
umendee mke wa wenyewe kisiri, ufumaniwe na kupigwa rungu, halafu mje hapa ati ng'we ng'we ng'we sijui amefanya nini, alaaaa!

kama ametekwa si umuokoe sasa, kumbwelambwela tu 🐒
Hongera kwa kutambua maupuuzi yao hayo
 
Kwa hiyo na yule mangi aliyetaka kutekwa ili wakampige paipu, naye asingejikomboa mngeitisha maandamano!!? Acheni ufala, sio kila anayetekwa ni siasa wengine mna madeni, wanawake za watu, dhuluma au haujui!!
Ahsante
 
Chama kinapaswa kiunde kikosi cha siri cha kijasusi kinachotegemea chenyewe kuazia bajeti vifaa vya kutendea kazi mpaka mafunzo. Wapelekwe kwa siri nchi kama ujerumani Israeli na marekani kuchukua mafunzo ya juu kabisa ya ukachero. Kisha kazi yao itakuwa kuwasaka kinyemela watekaji kwa uangalifu wa hali ya juu bila kuhusisha mfumo wowote wa chama. Kazi yao kubwa itakuwa. Kuhakikisha wanafichua matukio ya kiuzandiki yanayotaka kutendewa viongozi naa wanachama kabla hayajatendika, kuwabaini watendaji wa matukio maovu wanayotendewa wanachama na viongozi na kuwashikisha adabu. Hakitakuwa kinaripoti kwa kiongozi wowote wa chama wao watajitegemea na wakikamatwa watajua wenyewe
 
hiyo ni drama,
umendee mke wa wenyewe kisiri, ufumaniwe na kupigwa rungu, halafu mje hapa ati ng'we ng'we ng'we sijui amefanya nini, alaaaa!

kama ametekwa si umuokoe sasa, kumbwelambwela tu 🐒
wacheni siasa za kishamba umbwa nyie
 
Sherehe za kumtoa Mbowe unazijua wewe,Mimi nachosema maridhiano hayakua na maana yoyote,kama Mwamba aliamini hicho basi alifeli
Unadhani itumike njia gani nyingine ili kumaliza hilo tatizo?.Au tutapiga tu porojo uku mitandaoni uku familia za waliotekwa zikiendelea kuumia?.
 
Maandamano kudai katiba mpya ili kubadili mifumo
 
"We were forced to form a Paramilitary Wing of uMkhonto we Sizwe within the ANC because the Government of Whites Minorities of South Africa was terrorising us by using the State Security Forces."

Oliver Reginald Tambo, former President of African National Congress (ANC) from 1967 to 1993.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…