nicholasmari
JF-Expert Member
- Dec 28, 2024
- 630
- 583
Ingieni msituni km nyie wanaumeHapa ndio utajua kwanini Lissu anaona maridhiano ni upuuzi tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ingieni msituni km nyie wanaumeHapa ndio utajua kwanini Lissu anaona maridhiano ni upuuzi tu
Una akiliAmejiteka mwenyewe, CHADEMA wanajiteka wenyewe by CCM
We bwege nyie nyau ni mapimbi majingaHatari kubwa sana hii.
Maandamano pekee hayawezi kukomesha vitendo vya Utekaji. Lakini hatua kali zaidi za kupinga vitendo hivi zinapaswa kuchukuliwa, VIta kali Sana kwa sasa inapaswa kuelekezwa kwenye upatikanaji wa Katiba Mpya iliyo nzuri
Hongera kwa kutambua maupuuzi yao hayohiyo ni drama,
umendee mke wa wenyewe kisiri, ufumaniwe na kupigwa rungu, halafu mje hapa ati ng'we ng'we ng'we sijui amefanya nini, alaaaa!
kama ametekwa si umuokoe sasa, kumbwelambwela tu 🐒
AhsanteKwa hiyo na yule mangi aliyetaka kutekwa ili wakampige paipu, naye asingejikomboa mngeitisha maandamano!!? Acheni ufala, sio kila anayetekwa ni siasa wengine mna madeni, wanawake za watu, dhuluma au haujui!!
Fisiemu ni materorists!Amejiteka mwenyewe, CHADEMA wanajiteka wenyewe by CCM
Maridhiano yalikuwa yanawanufaisha kina john mrema tuHapa ndio utajua kwanini Lissu anaona maridhiano ni upuuzi tu
Chama kinapaswa kiunde kikosi cha siri cha kijasusi kinachotegemea chenyewe kuazia bajeti vifaa vya kutendea kazi mpaka mafunzo. Wapelekwe kwa siri nchi kama ujerumani Israeli na marekani kuchukua mafunzo ya juu kabisa ya ukachero. Kisha kazi yao itakuwa kuwasaka kinyemela watekaji kwa uangalifu wa hali ya juu bila kuhusisha mfumo wowote wa chama. Kazi yao kubwa itakuwa. Kuhakikisha wanafichua matukio ya kiuzandiki yanayotaka kutendewa viongozi naa wanachama kabla hayajatendika, kuwabaini watendaji wa matukio maovu wanayotendewa wanachama na viongozi na kuwashikisha adabu. Hakitakuwa kinaripoti kwa kiongozi wowote wa chama wao watajitegemea na wakikamatwa watajua wenyeweAmani Manengelo, Katibu wa BAVICHA Mkoa wa Mwanza, ameripotiwa kutekwa na kupotea tangu tarehe 14.02.2025 huko Misungwi, Mwanza.
Ameandika Martin Maranja Masese
Amani Manengelo ni kiongozi wa vijana wa CHADEMA mkoa wa Mwanza. Katibu wa BAVICHA Mkoa - Mwanza.
Nimepata habari za kutekwa na kupotea Manengelo nimesikitika sana… kwamba vitendo hivi vinaendelea?
Inaelezwa kwamba, Amani Manengelo alitekwa na watu wasiojulikana siku ya 14.02.2025, Misungwi, Mwanza.
Ni nchi zenye tawala dhalimu za kidikteta neiyo zinaweza kuteka vijana wadogo ambao ni wapinzani wa Serikali.
Nafikiri, sasa ni muda wa kuonesha vitendo dhidi ya maneno. Tuwaoneshe watekaji sisi siyo kuku bandani.
Yaitishwe maandamano makubwa ya kushinikiza watu wote waliotekwa na kupotea, warejeshwe kwa haraka.
Vijana wa CHADEMA Mwanza, ni wakati wa kuonesha nguvu ya umma kushinikiza Manengelo apatikane.
Tusiwaache wahuni kuamua nani atekwe na kupotezwa. Kesho watamteka mwingine na kila kitu kitaendelea.
Tunao uongozi mpya wa chama, na umesisitiza wazi utapambana na vitendo vya utekaji, ni muda muafaka.
Kwa kuwa wanatekwa wenzetu, tuoneshe kwa vitendo vitendo vya utekaji ni ushenzi na ushamba usiokubalika.
Kataa utekaji. Kataa utekaji. Kataa utekaji.
wacheni siasa za kishamba umbwa nyiehiyo ni drama,
umendee mke wa wenyewe kisiri, ufumaniwe na kupigwa rungu, halafu mje hapa ati ng'we ng'we ng'we sijui amefanya nini, alaaaa!
kama ametekwa si umuokoe sasa, kumbwelambwela tu 🐒
Walisema kipindi cha kampeni kuwa, FAM na Boniyai ndiyo watekaji.Kwamba?
relax gentleman,wacheni siasa za kishamba umbwa nyie

Unadhani itumike njia gani nyingine ili kumaliza hilo tatizo?.Au tutapiga tu porojo uku mitandaoni uku familia za waliotekwa zikiendelea kuumia?.Sherehe za kumtoa Mbowe unazijua wewe,Mimi nachosema maridhiano hayakua na maana yoyote,kama Mwamba aliamini hicho basi alifeli
Unadhani itumike njia gani nyingine ili kumaliza hilo tatizo?.Au tutapiga tu porojo uku mitandaoni uku familia za waliotekwa zikiendelea kuumia?.
Maandamano kudai katiba mpya ili kubadili mifumoUnadhani itumike njia gani nyingine ili kumaliza hilo tatizo?.Au tutapiga tu porojo uku mitandaoni uku familia za waliotekwa zikiendelea kuumia?.
relax gentleman,
epuka kumendea wake za watu,
ukifumwa na kutiwa mangeu na wenyewe usisingizie kutekwa![]()
Amani Manengelo, Katibu wa BAVICHA Mkoa wa Mwanza, ameripotiwa kutekwa na kupotea tangu tarehe 14.02.2025 huko Misungwi, Mwanza.
Ameandika Martin Maranja Masese
Amani Manengelo ni kiongozi wa vijana wa CHADEMA mkoa wa Mwanza. Katibu wa BAVICHA Mkoa - Mwanza.
Nimepata habari za kutekwa na kupotea Manengelo nimesikitika sana… kwamba vitendo hivi vinaendelea?
Inaelezwa kwamba, Amani Manengelo alitekwa na watu wasiojulikana siku ya 14.02.2025, Misungwi, Mwanza.
Ni nchi zenye tawala dhalimu za kidikteta neiyo zinaweza kuteka vijana wadogo ambao ni wapinzani wa Serikali.
Nafikiri, sasa ni muda wa kuonesha vitendo dhidi ya maneno. Tuwaoneshe watekaji sisi siyo kuku bandani.
Yaitishwe maandamano makubwa ya kushinikiza watu wote waliotekwa na kupotea, warejeshwe kwa haraka.
Vijana wa CHADEMA Mwanza, ni wakati wa kuonesha nguvu ya umma kushinikiza Manengelo apatikane.
Tusiwaache wahuni kuamua nani atekwe na kupotezwa. Kesho watamteka mwingine na kila kitu kitaendelea.
Tunao uongozi mpya wa chama, na umesisitiza wazi utapambana na vitendo vya utekaji, ni muda muafaka.
Kwa kuwa wanatekwa wenzetu, tuoneshe kwa vitendo vitendo vya utekaji ni ushenzi na ushamba usiokubalika.
Kataa utekaji. Kataa utekaji. Kataa utekaji.
Soma, Pia: Kupambana na watu wasiojulikana: Ukija kukamatwa na polisi bila uniform na hajaambatana na kiongozi wa eneo husika piga firimbi, kusanya nzi