Amani ni kichocheo muhimu sana kwenye kufanya mapenzi kwa usahihi na katika ukamilifu wake

Amani ni kichocheo muhimu sana kwenye kufanya mapenzi kwa usahihi na katika ukamilifu wake

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
51,453
Reaction score
41,274
Bila ya kua na amani ya uhakika kijamii, kisiasa na kiuchumi kamwe huwezi kufanya mapenzi kwa usahihi na katika ukamilifu wake, na badala yake wapenzi waliokosa amani, huishia kugusanagusana au kunyonyana via vyao vya uzazi, huku miguno ya kinafiki ikitumika kudanganyana wao kwa wao.

Kwahiyo ndugu zangu wadau wa JF katika jukwaa hili muhimu sana,
tuungane pamoja katika kuitunza na kuilinda amani ya taifa letu kwa wivu mkubwa, ili hatimae tuendelee kuinjoy mapenzi motomoto tukiwa katika mazingira tulivu na ya amani kama ilivyo sasa.

Mataifa yasiyo na amani watu wake hawainjoy kabisa mapenzi, na kwa sababu ya amani iliyoko katika Taifa letu, ndio unaweza kukuta watu wanainjoy mapenzi katika vyumba vya mahotelini, lodge, gesti, vichakani na hata kwenye maeneo ya makaburi ya wafu, watu wananyanduana kwa utulivu kabisa. Mataifa yenye fujo na vita kama vile Sudani na DRC hakuna mwananchi anaweza kuinjoy mapenzi katika maeneo hayo.

So, my friends ladies and gentleman,

Tuilinde na kuitunza amani ya taifa letu kwa nguvu na gharama yoyote ile ili hatimae kuendelea kupata mapenzi motomoto kulingana na mazingira ya utulivu na ya heshima ya kuturuhusu kunyanduana kikamilifu na kwa usahihi.

Tuache uvivu, tufanye kazi kwa bidii ili kujimarisha kiuchumi na kupata uhakika wa fursa za kimapenzi bila stress.
Mungu Ibariki Tanzania.
 
Back
Top Bottom