Hao hawana akili , hata Hamas waliodai Bora kufa kuliko unyonge sasa wanawataabisha Raia wao na wanatamani Amani.Wapo wachache wanaosema aheri wali nyama vitani kuliko Ugali dagaa kwenye amani.
Mitutu ya bunduki na kukimbizana tukusikie kwa wenzetu tu.
Wengine wanaombea jeshi lichukue nchi lakini tusiombe hio hali kutokea.Kulala mwisho ni saa kumi na mbili.Tunaropoka kwa kua tuna muda wa kuyafanya haya yanayoendelea nchini
Amani, Amani,Amani hakuna,Watu wanatekwa,ukiongea Kwa hoja unaoneka muhaini,ukikaa kimya unaonekana Bwege,ukiandamana unavunja Amani!Haki hakuna kila sehemu,Amani hakuna!Wasalaam,kumekua na joto kubwa la kisiasa ndani na nje ya nchi yetu. Amani imetulewesha mpaka hatuoni umuhimu wake. Viongozi wa kidini wamejipenyeza kwenye siasa na wanasiasa wamejipenyeza kwenye dini.
Kutupiana lawama ndio imekua msingi mkuu.Hawa wanasema wameonewa na wale wanasema sheria haifuatwi.
Siku amani ya nchi yetu itakapozimika tukawa kama Congo kwa tamaa za watu wachache kutaka mali na madaraka kwa nguvu hakika tutaikumbuka hii amani.
Kama hujawahi kupoteza ndugu yako utaandika haya....lakin sisi wengine tumeshazika wadogo zetu inaa uma saana tu ni vile hatuna namna.Wasalaam,kumekua na joto kubwa la kisiasa ndani na nje ya nchi yetu. Amani imetulewesha mpaka hatuoni umuhimu wake. Viongozi wa kidini wamejipenyeza kwenye siasa na wanasiasa wamejipenyeza kwenye dini.
Kutupiana lawama ndio imekua msingi mkuu.Hawa wanasema wameonewa na wale wanasema sheria haifuatwi.
Siku amani ya nchi yetu itakapozimika tukawa kama Congo kwa tamaa za watu wachache kutaka mali na madaraka kwa nguvu hakika tutaikumbuka hii amani.
Yaani watawala wafanye ufisadi wa kutisha wa Kodi zetu wakope mikopo isiyojulikana ipo wapi Kisha sisi tiwaache na amani?Wasalaam,kumekua na joto kubwa la kisiasa ndani na nje ya nchi yetu. Amani imetulewesha mpaka hatuoni umuhimu wake. Viongozi wa kidini wamejipenyeza kwenye siasa na wanasiasa wamejipenyeza kwenye dini.
Kutupiana lawama ndio imekua msingi mkuu.Hawa wanasema wameonewa na wale wanasema sheria haifuatwi.
Siku amani ya nchi yetu itakapozimika tukawa kama Congo kwa tamaa za watu wachache kutaka mali na madaraka kwa nguvu hakika tutaikumbuka hii amani.
Huu ndio ubinafsi mbaya zaidi wa watu wajinga.Kwa hiyo hao wanaotekwa tusiulize
Washika tonge hawataki kuhojiwa ukiwahoji wanakushughulikia wamekuwa wapumbavu Tanzania upumbavu ni kipaji mpumbavu ni mtu aliyebobea kwenye jambo fulani lakini hatekelezi majukumu yake kwa weledi, hata hivyo nyazifa wanapeana tu hata kama kichwani hamna kitu mradi uwe chawa ndiyo maana CCM kuna machwa, viroboto,, kunguni na makupeYou are very right. Swala la kuhoji mambo lilishafanywa dhambi toka ngazi ya familia. Ukihoji mambo wazazi wanakuona ni mtoto usiye na adabu au mtukutu kumbe kuhoji ni haki ya msingi ya mtu yeyote mwenye akili timamu.
Tuwajenge watoto waweze kuhoji na sio kuwaswaga tu kwa interest zetu. Hali hii imetembea kwenye ngazi za familia, vitongoji, vijiji, wilaya mikoa mpaka taifa kwa ujumla.
Mtu akiwa na mamlaka anataka asihojiwe kila mtu afate anachotaka tu hata kama hakina manufaa. Mwisho tunaanza kufanyiana umafia sasa.
Yule shekhe mla wake za watu aliyesema tupate stroke umeona anajielewa kweli wapumbavu km wale ndo wanasababisha taifa kutokua na amaniWasalaam,kumekua na joto kubwa la kisiasa ndani na nje ya nchi yetu. Amani imetulewesha mpaka hatuoni umuhimu wake. Viongozi wa kidini wamejipenyeza kwenye siasa na wanasiasa wamejipenyeza kwenye dini.
Kutupiana lawama ndio imekua msingi mkuu.Hawa wanasema wameonewa na wale wanasema sheria haifuatwi.
Siku amani ya nchi yetu itakapozimika tukawa kama Congo kwa tamaa za watu wachache kutaka mali na madaraka kwa nguvu hakika tutaikumbuka hii amani.
Hata Amani Karume hayupo piaTanganyika HAKUNA KITU KINACHOITWA AMANI.
Labda kama unamaanisha Amani KARUME.
Kujipenyeza sijui dini kwenye siasa ama siasa kwenye dini havina uzito, hayo mambo ni ya binafsi mno, huo unaitwa ni 'uhuru'.Wasalaam,kumekua na joto kubwa la kisiasa ndani na nje ya nchi yetu. Amani imetulewesha mpaka hatuoni umuhimu wake. Viongozi wa kidini wamejipenyeza kwenye siasa na wanasiasa wamejipenyeza kwenye dini.
Kutupiana lawama ndio imekua msingi mkuu.Hawa wanasema wameonewa na wale wanasema sheria haifuatwi.
Siku amani ya nchi yetu itakapozimika tukawa kama Congo kwa tamaa za watu wachache kutaka mali na madaraka kwa nguvu hakika tutaikumbuka hii amani.
Umeona,kwa hiyo Tanganyika HAKUNA AMANI.Hata Amani Karume hayupo pia
Itakua.Au kama anamaanisha majani ya chai ya Amani, au Amani place jirani na serena hotel
Unaandika ukiwa Lumumba au bakwata?Wasalaam,kumekua na joto kubwa la kisiasa ndani na nje ya nchi yetu. Amani imetulewesha mpaka hatuoni umuhimu wake. Viongozi wa kidini wamejipenyeza kwenye siasa na wanasiasa wamejipenyeza kwenye dini.
Kutupiana lawama ndio imekua msingi mkuu.Hawa wanasema wameonewa na wale wanasema sheria haifuatwi.
Siku amani ya nchi yetu itakapozimika tukawa kama Congo kwa tamaa za watu wachache kutaka mali na madaraka kwa nguvu hakika tutaikumbuka hii amani.
Tanzania kuna amani? Unajua peace ni nini ? freedom from disturbance, tranquillity. Unajua tranquility ni nini ? A peaceful, calm state, without noise, violence, worry. Watu wakiwa na worry hapo hakuna Amani. Amani ni full package, watu wanatekwa hapo amani iko wapi ? Watu wana wasiwasi amani itakuwepo? Hichi unachokitetea ni sababu people are complaining arleady which means hakuna Amani.. . Kitendo cha watu kudai haki zao za msingi na ninyi mnawatishia kuwa wakiendelea kudai kutatokea vita na vitu kama hivyo ? tuambie nani ataanzisha vita kwa watu wanaodai haki zao? Kwanini vita itokee? Kwanini watawala huwa wanawanyamazisha watu wanaowafumbua watu kwenye haki zao, kuna faida gani wanaipata?. Umeshawahi kufikiria watu wote wanaotekwa wana kitu kimoja in common kwanini WAO tu na sio kina mwijaku? Hata ukiwa baba kwenye familia ukiona wanao hawakupi changamoto yoyote ujue wewe ni baba mjinga, changamoto huwa tunazipokea na tunazifanyia kazi.Mkuu changamoto zipo lakini sidhani kwa yanayoendelea kwa sasa ndivyo inavyopaswa kua.Mimi sina upendeleo wa chama au dini. Msimamo na wimbo wangu ni amani