Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesoma hiyo habari na kuielewa? Hiyo ni kampuni mojawapo inayonunua dhahabu na ndio wameanza haijasemwa ndio kampuni kubwa ya ununuzi. wao wananunua pale Geita kutoka kwa wachimbaji wadogo wadogo kwenye maduka yaliyoanzishwa dola laki mbili mnaona ndogo? Ambayo ni takriban millioni 711 za Tanzania.Tutoane ushamba wakuu!....Kilo 5 ndo zimefanyiwa shipment🤭
manengelo
Mkuu labda wewe sio mfuatiliaji wa madini Tanzania. kwa taarifa yako gold iliyokuwa inapatikana kwa mwaka kutoka mbeya mwaka 2014 ilikuwa kio 5 na bado haijawa purified. Sasa hii kampuni ndogo kuanza na kio tano kuna ubaya gani? Imeelezwa hapo kwamba hii ni consignment yao ya kwanza.Kuna watu wanasafirisha hadi kilo 200 wapo kimya nyie kilo 5 tu unaleta mayowe humu
Yaah! Kwa meli ya kukodiTutoane ushamba wakuu!....Kilo 5 ndo zimefanyiwa shipment🤭
manengelo
are u serious 5kgs😏😏😏😏
😳😳😳nothin to say5 kg at that price?