Amani wamesafirisha mzigo wa gold kwa mara ya kwanza kilo 5.08

eti kipi kizito kati ya kilo 5 za gold na kilo 5 za mchele!
interms of uzito zote zipo sawa tofauti ni thamani
 
Tutoane ushamba wakuu!....Kilo 5 ndo zimefanyiwa shipment🤭
manengelo
Umesoma hiyo habari na kuielewa? Hiyo ni kampuni mojawapo inayonunua dhahabu na ndio wameanza haijasemwa ndio kampuni kubwa ya ununuzi. wao wananunua pale Geita kutoka kwa wachimbaji wadogo wadogo kwenye maduka yaliyoanzishwa dola laki mbili mnaona ndogo? Ambayo ni takriban millioni 711 za Tanzania.
 
Kuna watu wanasafirisha hadi kilo 200 wapo kimya nyie kilo 5 tu unaleta mayowe humu
Mkuu labda wewe sio mfuatiliaji wa madini Tanzania. kwa taarifa yako gold iliyokuwa inapatikana kwa mwaka kutoka mbeya mwaka 2014 ilikuwa kio 5 na bado haijawa purified. Sasa hii kampuni ndogo kuanza na kio tano kuna ubaya gani? Imeelezwa hapo kwamba hii ni consignment yao ya kwanza.
 
Its the selling price multiply by 5800grms hiyo ni bilioni moja na milioni kama mia nne


Mkuu gold inauzwa kwa ounce kwenye soko la kimataifa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…