Amani ya bwana iwe juu yenu

kahtaan

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2009
Posts
18,760
Reaction score
11,343
Hello fellows,.
It has been a while
Natumai walio hai hamjambo na waliotangulia mbele ya haki Mungu awapeleke wanapostahili.
Tuko pamoja jamvini.
Wagala walioniombea dua mbaya nimewasamehe bure.
Kazi iendelee.
Ahsanta
 
Hello fellows,.
It has been a while
Natumai walio hai hamjambo na waliotangulia mbele ya haki Mungu awapeleke wanapostahili.
Tuko pamoja jamvini.
Wagala walioniombea dua mbaya nimewasamehe bure.
Kazi iendelee.
Ahsanta
As Salaam ‘Alaykum Warahmatullah Wabarakaatuh.

Karibu tena jamvini Ndugu Qahtaan
 
Hahaha, hata sisi Wagalatia tumekusamehe 7*70 pale ulipotukosea

Karibu jamvini...twende na mama[emoji123]
 
Tumeamliwa kutafuta Amani kwa kila mtu.huo ndiyo utamu wa Ugalatia.
Tatizo sio kuamriwa.
Tatizo mnafuata hayo maamrisho?
Yesu kakataza pombe na Nguruwe.
Je mnafuata?
Yesu kakataza kuomba kwa sauti na nyimbo. Hizo kwaya na vipaza sauti huko ndiko kutii Amri?

Labda useme ugalatia ni km usanii tu. Unakwenda upepo unapo elekea
 
Mbinguni hatuendi kwa makundi bali mmoja mmoja. so, swali lako liwe ninayafuata maamrisho(sio tunayafuata) ama mi ni mpiga domo tu.
Then, shida yako ni Ugalatia, Wagalatia ama vyote kwa ujumla?.
 
Kifungu gani alikataza nyimbo/uimbaji?

#MaendeleoHayanaChama
 
Kifungu gani alikataza nyimbo/uimbaji?

#MaendeleoHayanaChama
.

Mathayo 6:5-15 SUV

Tena msalipo, msiwe kama wanafiki; kwa maana wao wapenda kusali hali wamesimama katika masinagogi na katika pembe za njia, ili waonekane na watu. Amin, nawaambia, Wamekwisha kupata thawabu yao. Bali wewe usalipo, ingia katika chumba chako cha ndani, na ukiisha kufunga mlango wako, usali mbele za Baba yako aliye sirini; na Baba yako aonaye sirini atakujazi. Nanyi mkiwa katika kusali, msipayuke-payuke, kama watu wa mataifa; maana wao hudhani ya kuwa watasikiwa kwa sababu ya maneno yao kuwa mengi. Basi msifanane na hao; maana Baba yenu anajua mnayohitaji kabla ninyi hamjamwomba. Basi ninyi salini hivi; Baba yetu uliye mbinguni, Jina lako litukuzwe, Ufalme wako uje, Mapenzi yako yatimizwe, hapa duniani kama huko mbinguni. Utupe leo riziki yetu. Utusamehe deni zetu, kama sisi nasi tuwasamehevyo wadeni wetu. Na usitutie majaribuni, lakini utuokoe na yule mwovu. [Kwa kuwa ufalme ni wako, na nguvu, na utukufu, hata milele. Amina.] Kwa maana mkiwasamehe watu makosa yao, na Baba yenu wa mbinguni atawasamehe ninyi. Bali msipowasamehe watu makosa yao, wala Baba yenu hatawasamehe ninyi makosa yenu.


Salini KIMYA.

Hizo nyimbo mtaweza kuimba KIMYA?
 
Mbinguni hatuendi kwa makundi bali mmoja mmoja. so, swali lako liwe ninayafuata maamrisho(sio tunayafuata) ama mi ni mpiga domo tu.
Then, shida yako ni Ugalatia, Wagalatia ama vyote kwa ujumla?.
Huwezi kupata mgalatia bila kuwa na UGALATIA.
Kwahio tatizo ni UGALATIA ambao kaja nao Paulo.
Yule aliejipa utume bila kuonana na Yesu wala wanafunzi wa Yesu.
Yule aliyeua wakristo zaidi ya milioni.
Yule Yule Paulo aliyekimbilia Antiokia baada ya kupigwa sana na wafuasi wa kweli wa Yesu

Huyo ndie mpinga Kristo.
Aliyeleta Dini ingine kabisa isiofuata mafundisho ya Yesu mwana wa Maria.
 
Una hoja dhaifu sana.nalionea huruma kundi lililoweka imani kwenu.
Kwa ukongwe ulionao Jf hukupaswa kuwa na hoja regevu kiasi iki tena 2022😊😢😢
 
Hapo alikua anaongea na mmoja mmoja bwana, sio mkusanyiko wa watu,
Ni sawa, Hata Mungu aliongea na Musa akiwakilisha wanadamu wengine wote, Yesu aliongea na Mwanafunzi wake mmoja at times lakini kwa kutuwakilisha wote
 
Nanyi mkiwa katika kusali, msipayuke-payuke, kama watu wa mataifa; maana wao hudhani ya kuwa watasikiwa kwa sababu ya maneno yao kuwa mengi
Hivi hawa watu wa Mataifa si ndo wale wasiokuwa wayahudi? Akina Afrika, Aisa na Ulaya?
 
Ni sawa, Hata Mungu aliongea na Musa akiwakilisha wanadamu wengine wote, Yesu aliongea na Mwanafunzi wake mmoja at times lakini kwa kutuwakilisha wote

Uko sahihi, ila yaani tukusanyike, tusisifu, yaani tukusanyike halafu kila mtu aingie chumba chake na kuanza kuabudu/kusali peke yake/quietly...nini itakua maana ya mkusanyiko sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…