Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
As Salaam ‘Alaykum Warahmatullah Wabarakaatuh.Hello fellows,.
It has been a while
Natumai walio hai hamjambo na waliotangulia mbele ya haki Mungu awapeleke wanapostahili.
Tuko pamoja jamvini.
Wagala walioniombea dua mbaya nimewasamehe bure.
Kazi iendelee.
Ahsanta
Tatizo sio kuamriwa.Tumeamliwa kutafuta Amani kwa kila mtu.huo ndiyo utamu wa Ugalatia.
Mbinguni hatuendi kwa makundi bali mmoja mmoja. so, swali lako liwe ninayafuata maamrisho(sio tunayafuata) ama mi ni mpiga domo tu.Tatizo sio kuamriwa.
Tatizo mnafuata hayo maamrisho?
Yesu kakataza pombe na Nguruwe.
Je mnafuata?
Yesu kakataza kuomba kwa sauti na nyimbo. Hizo kwaya na vipaza sauti huko ndiko kutii Amri?
Labda useme ugalatia ni km usanii tu. Unakwenda upepo unapo elekea
Kifungu gani alikataza nyimbo/uimbaji?Tatizo sio kuamriwa.
Tatizo mnafuata hayo maamrisho?
Yesu kakataza pombe na Nguruwe.
Je mnafuata?
Yesu kakataza kuomba kwa sauti na nyimbo. Hizo kwaya na vipaza sauti huko ndiko kutii Amri?
Labda useme ugalatia ni km usanii tu. Unakwenda upepo unapo elekea
MATHAYO 6 : 6-8Kifungu gani alikataza nyimbo/uimbaji?
#MaendeleoHayanaChama
.Kifungu gani alikataza nyimbo/uimbaji?
#MaendeleoHayanaChama
Huwezi kupata mgalatia bila kuwa na UGALATIA.Mbinguni hatuendi kwa makundi bali mmoja mmoja. so, swali lako liwe ninayafuata maamrisho(sio tunayafuata) ama mi ni mpiga domo tu.
Then, shida yako ni Ugalatia, Wagalatia ama vyote kwa ujumla?.
Una hoja dhaifu sana.nalionea huruma kundi lililoweka imani kwenu.Huwezi kupata mgalatia bila kuwa na UGALATIA.
Kwahio tatizo ni UGALATIA ambao kaja nao Paulo.
Yule aliejipa utume bila kuonana na Yesu wala wanafunzi wa Yesu.
Yule aliyeua wakristo zaidi ya milioni.
Yule Yule Paulo aliyekimbilia Antiokia baada ya kupigwa sana na wafuasi wa kweli wa Yesu
Huyo ndie mpinga Kristo.
Aliyeleta Dini ingine kabisa isiofuata mafundisho ya Yesu mwana wa Maria.
Ni sawa, Hata Mungu aliongea na Musa akiwakilisha wanadamu wengine wote, Yesu aliongea na Mwanafunzi wake mmoja at times lakini kwa kutuwakilisha woteHapo alikua anaongea na mmoja mmoja bwana, sio mkusanyiko wa watu,
Hivi hawa watu wa Mataifa si ndo wale wasiokuwa wayahudi? Akina Afrika, Aisa na Ulaya?Nanyi mkiwa katika kusali, msipayuke-payuke, kama watu wa mataifa; maana wao hudhani ya kuwa watasikiwa kwa sababu ya maneno yao kuwa mengi
Ni sawa, Hata Mungu aliongea na Musa akiwakilisha wanadamu wengine wote, Yesu aliongea na Mwanafunzi wake mmoja at times lakini kwa kutuwakilisha wote