Amani yaendelea kutawala miongoni mwa wajumbe bunge la katiba.

Amani yaendelea kutawala miongoni mwa wajumbe bunge la katiba.

Unafiki unaonekana upande mmoja tu. Ndiyo ubinadamu huo. Simiyu yetu amekuwa anatangaza humu kuteuliwa kwake na kila mara akikumbushia Unafiki wa wanasiasa kwa mtazamo wake! Anasahau pia kuwa kauli zake hizo nazo ni aina ya unafiki.
Ni vema kuamini kuwa unajua wakati hujui ili uishi kwa kujiamini make ungejua kuwa hujui ungekuwa mnyonge kweli ,pole mkuu
 
Hayo ni mawazo yako ndivyo wenye upeo mdogo huwaza hivyo kumbe siyo endelea kuamini hivyo sisi tunatengeneza katiba ya watanzania.
personally sina imani na ma-ccm kutokana na ukweli kuwa hawapo katika kutumia akili zao bali kila kitu kusikiliza mwenyekiti na katibu wanasemaje na baadae kufuata blindly ilimradi tu waendelee kunufaisha matumbo yao na familia zao. We Simiyu Yetu nimeshakusoma sana michango yako hapa jukwaani. Zaidi unachokifahamu ni ukereketwa wa kichama. Hakuna mda ambao umeweza kujenga hoja madhubuti yenye analysis na supporting evidence amabayo itanifanya mimi niamini kuwa huko dodoma utaweza kwenda kufanya kitu cha maana.
Kwa msingi huu naendelea kukwambia kuwa wewe afadhali tu chukua hiyo posho ambayo ndo muhimu kwako na wakereketwa wenzako baadae bakia nyumbani, wawache wazalendo na wataalamu watutengenezee katiba ya nchi yetu. Msiende kule kufanya vurugu na fedheha kama ambavyo tayari mmeshaanza.
 
Ahsante Mkuu Simiyu Yetu. Endelea kutujuza yanayojiri huko
 
Back
Top Bottom