S sirma Member Joined Apr 2, 2012 Posts 33 Reaction score 3 Mar 3, 2013 #1 kesho jirani zetu wanatarajia kufanya uchaguzi, nawatakia mchague viongozi wenu kwa amani na yeyote atakayeona ameonewa apeleke kesi mahakamani isije ikawa kama 07 kuandamana barabarani.
kesho jirani zetu wanatarajia kufanya uchaguzi, nawatakia mchague viongozi wenu kwa amani na yeyote atakayeona ameonewa apeleke kesi mahakamani isije ikawa kama 07 kuandamana barabarani.
Arushaone JF-Expert Member Joined Mar 31, 2012 Posts 15,194 Reaction score 13,426 Mar 3, 2013 #2 Nami naunga mkono hoja yako 100% nawaomba jirani zetu wakenya wayakubali matokeo. Lazima mshindi mmoja tu ndiye apatikane, jengeni tabia ya kukubali matokeo. Naona wakenya wengi na wazungu wengi waishio Kenya wanakimbilia mjini Arusha.
Nami naunga mkono hoja yako 100% nawaomba jirani zetu wakenya wayakubali matokeo. Lazima mshindi mmoja tu ndiye apatikane, jengeni tabia ya kukubali matokeo. Naona wakenya wengi na wazungu wengi waishio Kenya wanakimbilia mjini Arusha.