AMANi

AMANi

sirma

Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
33
Reaction score
3
kesho jirani zetu wanatarajia kufanya uchaguzi, nawatakia mchague viongozi wenu kwa amani na yeyote atakayeona ameonewa apeleke kesi mahakamani isije ikawa kama 07 kuandamana barabarani.
 
Nami naunga mkono hoja yako 100% nawaomba jirani zetu wakenya wayakubali matokeo.

Lazima mshindi mmoja tu ndiye apatikane, jengeni tabia ya kukubali matokeo. Naona wakenya wengi na wazungu wengi waishio Kenya wanakimbilia mjini Arusha.
 
Back
Top Bottom