Amapiano ilivyoniletea balaa

Kila kitu kwa kiasi!
 
Lingekuwa kosa sana makanisa ya Walokole yote karibia yangefungwa
Maana sio midundo kwa kukesha hukoo
Au zile Spika Za misikitini zinatunyima usingizi Kila siku saa11
 
Dah....angalau sasa tupo wapangaji wawili JF.....Mimi na wewe tu...wanaJF wengine wote hawatakuelewa....siyo wapangaji [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2960]
 
Kuna ule wimbo wa harmonize anasema "unapofungua mlango wa mbele hakikisha wa nyuma umefungwa,unaweza ikuta igunga huko"! Unaujua?
 
Hatuna Gari tu, tuna Mercedes, BMW, Volkswagen, Ford etc hatuendeshi vibaby walker Wala hatutumii Toyota hahaha
Nakuambia πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…