Amapiano ilivyoniletea balaa

Amapiano ilivyoniletea balaa

Habarini za jumapili,
hii miziki naisikiaga tu kwenye maklabu nikapendezewa na midundo yake.
sasa jana usiku nikaingia yutyub na kuandika amapiano nikakonnect blue tuth na hii home theater yangu.
nikaanza kujiachia ile midundo ikanifanya nipate mzuka na kujikuta naongeza sauti zaidi na kutetemesha bati la nyumba. nikiamini baba mwenye nyumba hayupo coz ni mzee wa ruti kumbe alikua asharudi safari usiku ule na yupo dani.
sasa hivi karudi kutoka chachi kasema baadae ana kikao na mimi pamoja na wapangaji wenzangu.
nivyomuuliza mpangaji mwenzangu akanambia nijiandae tu mana notisi inanihusu.
Kila kitu kwa kiasi!
 
Habarini za jumapili,

hii miziki naisikiaga tu kwenye maklabu nikapendezewa na midundo yake. sasa jana usiku nikaingia yutyub na kuandika amapiano nikakonnect blue tuth na hii home theater yangu.

nikaanza kujiachia ile midundo ikanifanya nipate mzuka na kujikuta naongeza sauti zaidi na kutetemesha bati la nyumba. nikiamini baba mwenye nyumba hayupo coz ni mzee wa ruti kumbe alikua asharudi safari usiku ule na yupo dani.

sasa hivi karudi kutoka chachi kasema baadae ana kikao na mimi pamoja na wapangaji wenzangu.

nivyomuuliza mpangaji mwenzangu akanambia nijiandae tu mana notisi inanihusu.
Dah....angalau sasa tupo wapangaji wawili JF.....Mimi na wewe tu...wanaJF wengine wote hawatakuelewa....siyo wapangaji [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2960]
 
Kuna ule wimbo wa harmonize anasema "unapofungua mlango wa mbele hakikisha wa nyuma umefungwa,unaweza ikuta igunga huko"! Unaujua?
 
Back
Top Bottom