Amapiano ni Ushamba wa wasanii wetu au fasheni?

Kuanzia leo nikisikia amapiano...nitaiona kama kwaito sitikisi hata kichwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Amapiano huwa tamu, ukikuta kuna pisi kali zinacheza... yaani udenda lazima ukutoke πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹
Tatizo hujawahi niambia viwanja au beach kali.. Mi sio wa kwenda Beach za Bure napishana na mabeki tatu tupu..
 
Tatizo hujawahi niambia viwanja au beach kali.. Mi sio wa kwenda Beach za Bure napishana na mabeki tatu tupu..
😁😁😁😁 Hapa dar viwanja huwa tuna switch.. unaweza nikuta Juliana, ukanikuta samaki samamki, ukanikuta havoc alafu narudi nyumbanj kutokea kidimbwi 😁😁
 
Azawi ana ngoma inaitwa quinamino naikubali sana
Yes Azawi, sasa yumo kwenye mdundo wa singeli kashirikishwa na mtoto wa mtwara anaitwa Kinata Mc ngoma inaitwa Do li Me.
Wasanii wanaochipukia kwenye singeli ndiyo wataipeleka international.
 
Umetisher babukijana 😍😍😍
Ndo manaake!
Kuna ile Khasim,
Ukimsikia muhidin gurumo anaimba "sasa pesa imemuishia khasim eeh hana la kufanya eeeh.
Akiingia baa anaagiza bia moja"namimi moja khasim"
Anajibu sina abariπŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Sasa khasim original ni mimi haswa
 
Naona sasa imekua ndo kawaida kwa wasanii wetu kila wimbo unaotoka ni Amapiano sijui amopiano yaani zinafanana kwa kila kitu,binafsi naona ni upuuzi mtupu!!
Ni usenge,mwendo wa kucopy na kupaste kutoka kwa madiba ivi nikweli tumeshidwa kukuza bongofleva,singeri,taarabu mpaka tunashindana kuleta mziki wa nje hapa bongo
 
Tatizo anarekodia video kwenye chemba za mavi
 
Ni usenge,mwendo wa kucopy na kupaste kutoka kwa madiba ivi nikweli tumeshidwa kukuza bongofleva,singeri,taarabu mpaka tunashindana kuleta mziki wa nje hapa bongo
Hivi taarabu Ni mziki wetu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…