Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,263
- 18,201
Weeeeh!
Nikoje jamaniiiiii
[emoji38]
Nikoje jamaniiiiii
[emoji38]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona sasa imekua ndo kawaida kwa wasanii wetu kila wimbo unaotoka ni Amapiano sijui amopiano yaani zinafanana kwa kila kitu,binafsi naona ni upuuzi mtupu!!
kwa nini isiwe singeli?Ndio mziki wa afrika ulopo sasa mkuu
Mbona una taarabu nyingi sana???Kiufupi sikutegemea memba mbobezi Kama wewe kuwa vile Tena since 2015
Ila unamkuta kwenye Ndombolo, so what the fvck is the difference.ndio maana heshima kwa Kiba, hautamkuta kwenye ujinga huu
Ni upepo tu... Utapita.Naona sasa imekua ndo kawaida kwa wasanii wetu kila wimbo unaotoka ni Amapiano sijui amopiano yaani zinafanana kwa kila kitu,binafsi naona ni upuuzi mtupu!!