Amapiano ni Ushamba wa wasanii wetu au fasheni?

Wala si ushamba. Hamjasikiliza ethiopian tizita. Ziko kama nyimbo mia za mtindo wa tizita toka kwa wasanii tofauti na zote zina utamu tofauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…