Unapata pesa kwa kutatua matatizo yanayoisibu jamii, yale matatizo mchomo kiasi cha mtu au biashara kukubali kukulipa.Hivi ni namna gani ukijua coding utaweza kupata kazi na kutengeneza Pesa kwa hapa bongo,
Inatagemeana unataka kufanya nini. Hizi lugha ni kama vifaa vya kazi. Kama plan ni kuchonga mbao basi hakikisha una randa.Na ni kwa C++ na Python zinatosha kukupa hizo kazi?
Ni program ya 12 monthsUnaweza kujifunza software engeneering kutoka Alx academy ya south africa ni free ila uwe committed usipofikisha 80% kwenye project wanakutoa
Shida kwa vijana wengi ipo hapa.Na mkuu Mtangoo alishaweka hili sawa sawa.Technologia na coding ni nyenzo tuu za kukusaidia kufanya kazi.Ili upate hela unatakiwa uwe MBUNIFU kwenye kutoa suluhisho la matatizo mengi yanayoizunguka jamii kwa kutumia hizo skills utakazozipata.Hivi ni namna gani ukijua coding utaweza kupata kazi na kutengeneza Pesa kwa hapa bongo,
Na ni kwa C++ na Python zinatosha kukupa hizo kazi?
Leo nimetumiwa email ya Kuwa mmoja wa watu walio kuwa selected na ALX Africa, software engineering ya 12 month, nimejaribu kupitia mtandaoni naambiwa ni moja ya course ngumu sana kama hauko committed kuisoma.Unaweza kujifunza software engeneering kutoka Alx academy ya south africa ni free ila uwe committed usipofikisha 80% kwenye project wanakutoa