Amatus Liyumba: Balaa!

Hivi kwani kuna mwanamke au shoga ambaye ametembea na huyu babu Liyumba alilalamika??? Kuna ambaye alishikiwa mtutu wa bunduki ndipo avue chupi au suruali?? Wote walijipeleka wenyewe kwa sababu ya tamaa na kupata umaarufu kutembea na tycoon wa hela za kuiba, maana kwa mshahara tu huwezi kuwa na matanuzi makubwa kiasi kile!!!!! Lazima kuna unaccountable sources za mihela yake ambayo ni immoral!!!!

Cha msingi, waliotembea naye watavuna kwa majira yao kulingana na aina ya ngono waliochagua (peku au na rambo).

Ila kama ni kweli mabinti hawa wadogo wameuza mwili wao kwa huyu babu basi tena, mjue wanaume tunaotaka kuoa mastaa au vipusa ujue ni fagio la uani hilo!!!! Inakatisha tamaa kujaribu kutongoza binti mrembo au maridadi maana unaona kama vile wazee design ya Liumba wanammendea pia. Kazi ipo kwa waoaji.

Pole Liyumba ila hongera kwa kuwa umeweza kuzunguka mbuyu sawasawa na kuweza kutoka kwa dhamana ya sh. milioni mia nane huku ukipewa muda wa uchambuzi wa hati nyingine!!!! Toba money has power!!!!!! Kweli hapo ndipo utajua who is really fisadi and really epa ghosts. Nikifikiria kuna yule jamaa anaitwa Jonathan Munisi aliunganishwa na kampuni ya Njake maskini wa mungu hadi leo anasota Keko hawezi kulipa dhamana ya 1.3 billion ambayo Japhet Lema mwenye Njake alishailipa na kutoka. Kisa tu nasikia Njake alimwomba amwandikie zile document bila kujua kuwa ni za kwenda kuiba pesa na akampati hela ya kazi tu!!! Sasa inasemekana Njake anataka asuke dili na amelizunguka buyu kila kona kuficha baadhi ya uhusika wake EPA maana alifanya dili za EPA kubwa tu. Kweli fedha ina nguvu jamani.
 
aah wapi, hujanisoma wala nini....acha kujifanya unanijua au kunielewa sana dogo wewe.....hakuna anayenijua, kunielewa, wala kunisoma hapa....

Kitu kimoja ambacho huwa nakifurahia katika post zako, very clear, concise and witty answers...
 

You are RIGHT . . .

I remember John Ngogo akija pale Igongwe (Mwenge) na manoti ya sh 200 yakiwa ndani ya mfuko wa rambo kwenye buti ya gari!!

Kwa hakika alikandamiza wahudumu pale na wengi wao hawapo tena na yeye hayupo tena

It seem PESA = KUKANDAMIZA!
 

Du mkuu Mbu umejuaje hii? Au hao wadada walikuambia. Unajua haya ni madai mazito kuyadeclare in public. Ati alikuwa anawananii vizuri? Tehe tehe tehe!
 
Kama ni kweli huyo jamaa aliwafanya mabinti wote hao, basi hao mabinti nao ni wajinga tu. Kama walikuwa wanamjua jamaa ni promiscuous hivyo ni nini sasa walichokuwa wanakipapatikia kutoka kwake? Vigari vyekundu? Ujinga mtupu....

Mkuuu Njaa za bongo ndivyo zinavyo tumaliza...
Ubaya wengine walikuwa wanajipeleka huku wakijua kifo nje nje lakini potelea mbali.
 


Ni huyu huyu Natasha Ismail nnae mjua mimi!!! haya msalimie Lupa ukirudi
 
jamani mi naona tuelekezee nguvu zetu kwenye uhamasishaji wa ngono salama. Hapa naona tunapoteza mda kudiscuss mambo yasiyo tuhusu na hata iyo list hatuna uhakika nayo.

i would be happy to see a thread that talks more about prevention na jinsi ya kuishi kwa matumaini.
no matter how much we say, there are hundreds of women and men out there using their money to spread the deasease. So i believe people should have as much sex as possible if they feel like it only that they should take precautions.
Na wanaweke tujifunze kutembea na Condom sio kutegemea wanaume wanunue!
 

I salute you Mrembo and I respect your personal views.
However dont you think that with lessons that we are drawing from the sexcapades of AL, its about time we sensitize people about being more respectful of themselves in as far as sexual matters are concerned more so in a world where we have so many problems to grapple with? I think if the reason why AL was able to trap so many women is the whole idea of getting rich quickly - getting sweet without sweat..then we should focus on how clean money can be earned through hard work.Uvivu wa WATU WACHACHE UTAANGAMIZA TAIFA ZIMA.Kama wengine walivyosema mzunguko hauishii na walioko kwenye list ( fake or genuine hiyo sitaki kujua) utawaangamiza hata wasiomjua AL kwa sura!
 
Jamani: What I can say is that This GUY used to sleep around alot!!!.. and I have seen with my naked eyes a number of these ladies in the list accommodated with him in the hotel I was working for. This guy was coming with a different lady every day. Whether behind the door they were doing it safely, I can't prove it here. I cant also say everybody in the list has slept with him because thats not my business. BUT he is being discussed here primarily because he was spending the money that belonged to the state or obtained in a corrupt way and also the way he was spending (sleeping around?????) with girls.... The possibility that the GUY is positive is high for having Multiple sexual partners. Tusigombane tuwape pole wale ambao kwa njia moja au nyingine wamejikuta waliwahi kuwa viiburudisho vya jamaa huyu.
 
correction; i did not say that people should have sex for money! I am just being realistic here, no matter how much we promote abstinence, it has not been fruitful.
so people should have sex if they want to only that they should be careful (this is my opinion).
 
 
aliapakutotumia kndom maishanmwake kwahiyo msijidanganye kupeana moyo kwa kondom kama jina lina connection na wewe kwa usalama tukapime ujueunaishije usiombe lilipuke ujui noma utajuta,,ukimwi ni ugonjwa wa kawaida tusiogope kupima
 
aliapakutotumia kndom maishanmwake
Alikuambia?.....
.....na nyie wengine msipotezee warembo bahati zao.....kuna watu wamewekeza wanataka kuweka ndani mazima nyie mnakandiya ati wana sida....uwongo mkubwa....
 
 
List hii inadhihirsha jinsi gani watu anbavyo hawana kazi huko bongo....umbea mtupu! pambaf!

tema mate chini kijana!!!ukonje ndio umeina kuna kazi??watu wanakula maisha hapa hapa bongo,style naprinciple ya kutafuta hela ndio neema yako,,,sio kusubiri mabox yanakuja lini!!!

huyu alieweka list ni kwleli yawezakana ameambiwa akaleta bila kuwa na uhakika hilo ni kosa la kibinadamu mkuu!!!mwombe mungu akuletee mngojezi kinywani mwako!!1
 
aliapakutotumia kndom maishanmwake kwahiyo msijidanganye kupeana moyo kwa kondom kama jina lina connection na wewe kwa usalama tukapime ujueunaishije usiombe lilipuke ujui noma utajuta,,ukimwi ni ugonjwa wa kawaida tusiogope kupima
Nasisitiza tena: wanawake tembeeni na condoms, jamaa akikataa run away quickly, akikushika kwa nguvu hayo yatakuwa maswala megine tena.

wanaume wengi wana tabia ya kujifanya wamesahau condoms....
 
mnapakaza nani aone mchumba wake kaanikwa na kasfa kibao akubali hata kula denda nae.....hata mie nakula kona......

......ile list ndio maua yetu mtaani wanaotusitiri.......niambie list ile wewe hugongi kavu? tuambieni ukweli totozi zile zionage kwenye picha zisogelee hutakumbuka ndomu.....
 
Liyumba atoka selo na kuzua utata

na Asha Bani

Tanzania Daima 18/2/09​

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jana ilimwachia kwa dhamana iliyozua utata, aliyekuwa Mkurugenzi wa Utawala wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Amatus Liyumba.

Utata huo ulitokana na kauli ya Wakili wa Jamhuri, Justas Mlokozi, kuonyesha kushangazwa na uamuzi wa Hakimu, Khadija Msongo, wa kumwachia mtuhumiwa licha ya kushindwa kutimiza masharti ya dhamana aliyopewa.

Moja ya masharti ambayo wakili huyo alidai hayakutimizwa na Liyumba ni pamoja na kuwasilisha mahakamani hati zenye thamani ya sh bilioni 55, wadhamini wawili wa serikali wakiwa na barua kutoka kwa waajiri wao na kukabidhi hati ya kusafiria mahakamani hapo.

Lakini Liyumba aliwasilisha hati yenye thamani ya sh milioni 884, hati ya kusafiria ambayo muda wake wa matumizi umekwisha, huku wadhamini wawili wakiwa hawana barua zilizosainiwa na mwajiri wao kama masharti yalivyotolewa na mahakama.

“Yeye ndiye hakimu aliyetoa uamuzi huo lakini na sisi upande wa jamhuri tunaenda kukaa kikao na kufanya majadiliano, ikiwezekana tutasonga mbele ili kujua uhalali wa dhamana hiyo, haiwezekani kwani hata robo ya masharti ya dhamana aliyowekewa hayajatimia,” alidai Mlokozi.

Aidha, upande wa utetezi ukiongozwa na wakili Hudson Ndusyepo, uliwasilisha maombi ya dhamana hiyo juzi ambapo jana Hakimu Khadija alipitia hati za dhamana hizo na kutoa mchanganuo wa hati mbalimbali bila kusema mahali zilipo wala thamani ya mali hizo kama inavyotakiwa.

Akisoma mchanganuo wa hati hizo, Hakimu Khadija alisema, Liyumba amewasilisha hati ya nyumba anayomiliki yeye mwenyewe yenye namba AO 320091, yenye thamani ya sh milioni 884 na plot namba 011493, 234198 za wamiliki tofauti, lakini hakutaja majina ya wamiliki wala mahali zilipo, tofauti na hati za dhamana zinavyotakiwa kutajwa majina, wamiliki na mahali zilipo.

Aidha, Hakimu Msongo alitaja shamba alilosema linamilikiwa na Jamila Nzota ambaye alikuwa Hakimu wa Mahakama ya Temeke, ambaye pia anashitakiwa kwa kosa la kula rushwa katika mahakama hiyo huku hukumu yake ikitarajiwa kutolewa mwezi ujao.

Kama masharti ya dhamana yanavyodai mshitakiwa alitakiwa kuwasilisha hati ya kusafiria, lakini aliwasilisha hati yenye namba AO32-009-12- ya mwaka 2007 ambayo mawakili wa upande wa Jamhuri walipinga kupokelewa kwa hati hiyo.

Ingawa upande wa Jamhuri ulipinga kupokewa kwa hati hiyo, Hakimu Msongo alipuuza na kutaka kuendelea na masuala mengine huku hati iliyokuwa imekwisha muda wake tangu mwaka 2007 ikipokewa mahakamani hapo.

Wakili wa upande wa Jamhuri, Mlokozi, alidai hata hati za mali ambazo zimewasilishwa zimechanganywa, ikiwa ni pamoja na mali zinazohamishika na zisizohamishika, hivyo kutojua mchanganuo wa mali hizo na kuitaka mahakama kupitia thamani ya mali hizo, ikiwa ni pamoja na kuthaminisha mali na fedha ambazo mtuhumiwa alitakiwa kuweka dhamana.

Kutokana na mabishano hayo, hakimu alitupilia mbali madai yote ya upande wa Jamhuri na kumwachia Liyumba kwa dhamana huku akiagiza upande wa utetezi kujipanga na kukamilisha masharti ya dhamana huku mtuhumiwa akiwa nje.

Aidha, kwa upande wa mtuhumiwa Deogratius Kweka, ambaye alikuwa Meneja Mradi wa benki hiyo, aliombewa kuwa nje akiwa chini ya uangalizi wa upande wa upelelezi kwa ajili ya kufanya uchunguzi ama upekuzi zaidi katika ofisi yake.

Aidha, upande wa Jamhuri uliiomba mahakama Kweka awe chini ya uangalizi wa upande wa upelelezi ili kuweza kufanya upekuzi katika ofisi yake kwa ajili ya kuisaidia mahakama kutenda haki.

Hakimu Msongo alikubalinana na ombi hilo na kutaka mshitakiwa huyo kuwa katika uangalizi mkubwa na upekuzi ufanyike wakati wa kazi na si vinginevyo.

Nje ya mahakama, kelele za vifijo na vigelegele vilirindima kutoka kwa ndugu wa Liyumba, huku ndugu wengine wakitoa vilio vya furaha, kwa kumkumbatia mtuhumiwa huyo na mwenyewe alisikika akisema kuwa ‘twendeni nyumbani, twendeni nyumbani.’

Msafara wa magari zaidi ya 10 yakiongozana na gari alilokuwa amepanda Liyumba, aina ya Luxus, lenye namba T 786 AEA, yaliondoka eneo la mahakama majira ya saa nane mchana, huku yakiacha gumzo kutoka kwa baadhi ya watu waliokuwa eneo hilo la mahakama.

Watuhumiwa hao wanakabiliwa na mashitaka matatu; likiwamo la matumizi mabaya ya fedha za umma kwa kuidhinisha ujenzi wa minara pacha ya BoT, maarufu kama ‘Twin Towers’, ambao umeisababishia serikali hasara ya sh bilioni 221. Kesi hiyo itatajwa tena Februari 24.

My Take: Kwa mujibu wa hii habari Hakimu kachemsha!! Najiuliza kajiamini nini??!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…