Zogwale
JF-Expert Member
- Jul 10, 2008
- 15,295
- 10,928
Hivi kwani kuna mwanamke au shoga ambaye ametembea na huyu babu Liyumba alilalamika??? Kuna ambaye alishikiwa mtutu wa bunduki ndipo avue chupi au suruali?? Wote walijipeleka wenyewe kwa sababu ya tamaa na kupata umaarufu kutembea na tycoon wa hela za kuiba, maana kwa mshahara tu huwezi kuwa na matanuzi makubwa kiasi kile!!!!! Lazima kuna unaccountable sources za mihela yake ambayo ni immoral!!!!
Cha msingi, waliotembea naye watavuna kwa majira yao kulingana na aina ya ngono waliochagua (peku au na rambo).
Ila kama ni kweli mabinti hawa wadogo wameuza mwili wao kwa huyu babu basi tena, mjue wanaume tunaotaka kuoa mastaa au vipusa ujue ni fagio la uani hilo!!!! Inakatisha tamaa kujaribu kutongoza binti mrembo au maridadi maana unaona kama vile wazee design ya Liumba wanammendea pia. Kazi ipo kwa waoaji.
Pole Liyumba ila hongera kwa kuwa umeweza kuzunguka mbuyu sawasawa na kuweza kutoka kwa dhamana ya sh. milioni mia nane huku ukipewa muda wa uchambuzi wa hati nyingine!!!! Toba money has power!!!!!! Kweli hapo ndipo utajua who is really fisadi and really epa ghosts. Nikifikiria kuna yule jamaa anaitwa Jonathan Munisi aliunganishwa na kampuni ya Njake maskini wa mungu hadi leo anasota Keko hawezi kulipa dhamana ya 1.3 billion ambayo Japhet Lema mwenye Njake alishailipa na kutoka. Kisa tu nasikia Njake alimwomba amwandikie zile document bila kujua kuwa ni za kwenda kuiba pesa na akampati hela ya kazi tu!!! Sasa inasemekana Njake anataka asuke dili na amelizunguka buyu kila kona kuficha baadhi ya uhusika wake EPA maana alifanya dili za EPA kubwa tu. Kweli fedha ina nguvu jamani.