Amatus Liyumba: Balaa!

lol tk nae kumbe yumo kwenye First eleven ya liumba?

Kamanda tema mate chini, ngoma isikiege kwa mwingine sio kwako. Hata hivyo imeandikwa kila nafsi lazima na ni shurti ionje mauti mkuu. Wote ni wagonjwa watarajiwa, na eventually ni wafu watarajiwa.
 
Usimlaumu liyumba kwa kuwa hana kosa. huyo kigoli angetulia asingechukua rav 4. hata samaki baharini wanakufa kwa chambo.
 
Mimi sishangai kuhusu hawa dada na mama zetu waliopitiwa na 'twin tower'.Taarifa zinazidi kuzagaa kuwa mzee huyu amewapitia dada zetu wengine mikoani japo kuwa hao sio maarufu kama hao waliowekwa kwenye listi.

Kazi ipo
 
Hebu nitoke maana unawezajikuta unashikwa na hasira hadi unapiga ngumu screen.....
People am out.
 
Hi guys thanks for accepting my registration into this great community! About the Liyumba issue, I see it is a national disaster. Guys like him should face public prosecution!
 
Hi guys thanks for accepting my registration into this great community! About the Liyumba issue, I see it is a national disaster. Guys like him should face public prosecution!
Hello CAN,

You're welcome to JF community...

But, why the guy should face public prosecution?
 
I say he must face public prosecution because what he has commited and still he is doing is like a Genocide. Amejifunga mabomu ya kujitoa muhanga.
 
Alienda kwa Igwe ampike, akifika mahakamani Hakimu asione ndani, atoe nje kesi, makachero wamemnasa akipikwa huko, sijui itakuwaje tuone kama mafundi wa Bongo wanayajua
 
kwenye orodha kuna somo wa hili jina tk!any way kama sio kweli sio kweli tu!mimi naamini kuna majina mengine wamepakaziwa!haina haja ya kuchukua legal action!mambo ya mtandao watu wnyewe hapa ni ma invisible!

Utasemaje tk yumo katika list wakati hujuwi tk ni mke au mume? Au wewe unajuwa identities za watu wote wa JF? Wapi katika list hiyo kuna tk? Ni no. ngapi katika list hiyo?
 
Kwani wanaotoa mawazo wote ni wadau? Kwa taarifa yako hata iwe anonymus kiasi gani, watu wakitaka kufuatilia watajua namna ya kudhibiti. Angalia jinsi blogs za ponography zinavyodhibitiwa huko majuu. Lazima JF iweke standards fulani katika uendeshaji wake. Kuachilia mambo ya kihuni kama haya siku moja yataifikisha pabaya.. Take my word...
 
Utasemaje tk yumo katika list wakati hujuwi tk ni mke au mume? Au wewe unajuwa identities za watu wote wa JF? Wapi katika list hiyo kuna tk? Ni no. ngapi katika list hiyo?

Huenda FL amekuchanganya jina na Teddy Kalonga (TK) ambaye alikuwa mdau mkubwa wa mpiganaji na Mseminari Amatus Liyumba. Usichukulie mambo serious na personal hapa JF bro tk.....

Good day
 
Utasemaje tk yumo katika list wakati hujuwi tk ni mke au mume? Au wewe unajuwa identities za watu wote wa JF? Wapi katika list hiyo kuna tk? Ni no. ngapi katika list hiyo?
Kama umeelewa vizuri niliandika somo wa hili jina TK.Samahani kwa kukukwaza ila hukuelewa tu maandishi yangu au labda uliyasoma juujuu!
 
Kama umeelewa vizuri niliandika somo wa hili jina TK.Samahani kwa kukukwaza ila hukuelewa tu maandishi yangu au labda uliyasoma juujuu!

hhahahaha ulimgusa mtu duh!
Ila TK hata mi jina sio geni hili nimeliskia sana ngoja nitafute kirefu chake navyo jua ni mwanamke na ni maarufu sana kuliko huyu tk wa jamiiforums sasa sijui ni mwenyewe huyu ngoja nitafute kilefu chake.
 
mambo vipi wakubwa,

mimi mgeni nimeingia leo hapa JF hube nipine hako ka list ka huyu Fisadi Liyumba

regards
kipa
 
List hiyo........
 
You do have a point, lakini katika dunia ya leo information ni ngumu sana kudhibiti. TK, usijali sana mi nime-judge kuwa kwa njia moja au nyingine hii ishu imekugusa kwani una-react kwa hasira.
Mi nakubali hoja yako kuwa inawezakana kutufikisha pabaya, huko Marekani kuna mwanafunzi alianzishiwa rumours on a blog na ali-commit suicide lakini bahati mbaya hiyo blog ilikuwa na disclaimer ya kuwa "does not take responsibility for material posted by members" so hamna kesi. Hapa pia members ni annonymus kwa hiyo ni ngumu kufuatilia.
 
Na mbado kupukutika ndo mtapukutika kama vikuku vyenye degedege...simliyataka wenyewe, Ebo! twende kazi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…